bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
si huwa wanaweka vipimo vya hiyo bidhaa?Yaani mzigo unakuja tofauti.
Niagiza feni kikaja kifeni
wanafikisha kwa address ya posta au wanafikisha wapi?Wanafikisha ila mzigo unaweza chelewa ,m pia nlikuwa siamini ila kuna jamaa angu kapokea mzigo juzi ndo nmeamin
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau salaam,
Hivi kuna mtu ambaye amewahi fanya biashara ya kununua kitu na hii platform? Nilikua natafuta sound bar nikaingia huko,ni kweli mzigo unafika?unajua online hii ukilizwa umelizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau salaam,
Hivi kuna mtu ambaye amewahi fanya biashara ya kununua kitu na hii platform? Nilikua natafuta sound bar nikaingia huko,ni kweli mzigo unafika?unajua online hii ukilizwa umelizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kikuu arusha hawana agent ila kuna jamaa ana ofisi yake pale jirani na idara ya maji ambaye wanamtumia kupokea mizigo ya wateja wao na ndiye anayesambaza, tatizo la huyo jamaa ni kuomba omba pesa kwa ujanja japo hasemi direct ila anasomeka.Kimfano mi niliagiza viatu, adress nilitaka waniletee njiro arusha na mtaa nilitaja.
Baada ya siku14 akaja mswahili na pikipiki, akanipigia cm nikaenda kuchukua.
Ndo nikagundua wana wasambazaji wamaotumia pikipiki zenye box kubwa nyuma.
Na kama ulipo ni mbali wanakuelekeza ofisi ya kwenda kuchukua mzigo wako, inaweza kuwa hata ni stend ya mabasi na ktk basi flan.
Sure hawana ofisi hapa arusha baada ya hiyo meseji huyo jamaa atakupigia umuelekeze akuletee au wewe ukachukue pale alipo.Asante
Jana nimetumiwa msg usiku kuwa mzigo wangu from AliExpress umefika , nimeambiwa office zipo maeneo ya ranger Safari near idara ya maji ,, imebd Ni search kama kweli Kuna office amenambia hizo hizo za kikuu
Imeandikwa sijui kikuu and AliExpress
Sure hawana ofisi hapa arusha baada ya hiyo meseji huyo jamaa atakupigia umuelekeze akuletee au wewe ukachukue pale alipo.
Ila hao AliExpress sijataka kujaribu kabisa aseee, hebu nijuze umemtumia dealer gani ili nimtafute nione bidhaa zake?.
Una umri gani wewe?.AliExpress pazuri Sana ,, sijawahi nunua kitu kikuu na Sina mpango
Kikuu is for real hawana shida nishaagiza stufs kibao humo mzigo hadi mlangoni kwakoKuna simu jamaa alinionesha bongo inauzwa 840,000 kikukuu 160000 nilishangaa sana,nikasema kama ni bei rahisi hivyo mbona watu wanatumia simu mbovumvovu wakati kuna simu kali alafu bei chee,nikasema isiwe kesi hiyo hela ni ndogo ntakupatia alafu uniagizie,sasa hivi ananiambia eti naweza nikawa na gundu hiyo simu isije,sasa nkajiulize sio wewe ulinipa uhakika?
Duh,asa wabongo mbona wanatumia simu za ajabu ajabu wakati kuna simu kali bei cheeKikuu is for real hawana shida nishaagiza stufs kibao humo mzigo hadi mlangoni kwako
Mama ako anajua umri wanguUna umri gani wewe?.