Na ndio wanapenda uamini hivi, kuna wachina kibao matapeli, madalali na wajanja kuliko wabongo, si kila kitu cha mchina kina value ya pesa, vingi tu vipo overpriced.
Nilinunua nokia obama huko... Ile inafika tu... Kuiona nikajisemea hili toy kweli? Ile kuweka laini goma halieleweki.... KWanza likasoma no sim card... Mwanga wa screeni mkali hadi macho yanauma... Afu hakuna sehemu ya kupunguzia.... Kitufe cha kuwashia tu ndo kina bonyezeka.. vingine hakuna kitu.... nikasema sio kweli ni return chap.. baada ya wiki kadhaa wakrudisha pesa yangu kwenye k pay acc... SAsa kimbembe kunirudishia kwenye tigo pesa yangu, Dooh! ile Kwenda ofisi zao pale shopars plaza mikocheni wakasema eti nitume detail kupitia app sehem customer service... Oohhh! KILA nikiafungua sehemu ya huduma KWa wateja huko kwenye app yao hakuna kitu... Nikasema wasiniletee ujinga nikawatimbia... Ile kufika dada wa reception kaniona akaingia kwenye kichumba flani akatoka namweleza anasema eti jaribu tena kuingia.. ile ilivo funguka nikawaandikia sms Hapo Hapo wakajibu nisubiri.... Hiyo subiri toka mwaka januari hadi leo.... Subiri subiri.... SAsa nimepanga niende nikawafanyie valangati...
Hiyo simu.ni copy mzee yaani hizo specification ni za uwongo ukinunua wanakutumia ndio ila ukiipata utacheka balaa yaani ni bora tecno ya batan kwa uwezo kuliko hyo tatzo lenu huwa hamsomi review walonunua hizo simu copy wanalia