Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

Mkuu tungekuwa na viwanda hawa watu wanahusika sana kwenye viwanda hawawezi shindwa kufanya hata packing!

Tatizo hata hizo label za packing, zimeandikwa kiingereza aua kiswahili nao lugha wanayoiabudu ni Kiarabu.

Ndio maana wanafanya fujo kwa ukosefu wa elimu ya maana. Waliosoma hawawezi kufanya utumbo huu.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Na siku zote kujitambia usomi eti kisa tuh unajua kuongea,kusoma na kuandika kiingereza ni ujinga ulioganda hadi kwnye damu,,hiyo ni lugha kama ilivo lugha ya kihaya
tofauti ni kwamba hao waliwahi kuja huku wakakutawala,na kuua utamaduni wako,na kukufunza wewe uudharau utamaduni wako ikiwemo dini za babu zako wakakuambia ufuate dini yao,lugha wakakuambia yako ni ya kipagani,mavazi wakakuambia yako ni mya kishenz na ndio maana hata leo sishangai kukuskia jina lako unaitwa washngton christopher utadhan kama una asili ya huko
zile assimillation policies zimekuathiri sana,,,
 

hakika umenena!wewe kweli Great Thinker!
 
Ijumaa lazima watu wa dar wanunue vitu mapema najua hakutakalika kbs.
 

tatizo hata hizo label za packing, zimeandikwa kiingereza aua kiswahili nao lugha wanayoiabudu ni kiarabu.

Ndio maana wanafanya fujo kwa ukosefu wa elimu ya maana. Waliosoma hawawezi kufanya utumbo huu.



mizambwa
inaniuma sana!!!

labda tuongeze vyuo vya veta na tuwalazimishe kwenda huko!
 
jaman hao watu si wawekewe mdahalo waseme wanataka waishije au wanaonewa kwa kipi mana wanachosha kwani wana MUNGU tofauti na wakristo, km Mungu ni mmoja why wanakua ivyo?????????????????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…