Kikulacho yuko wapi?

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,955
Jamani nilizoea kumwona kikulacho huku MMU....

Ila siku hizi simuoni tena,nini kimempata????

Amekua kimya kwa muda au kahama jukwaa???

Kikulacho a mishuuu popote ulipo,michango yako nimeimiss(japo mara nyingi unaandikaga gazeti)...

Rudi buanaaaaa....
 
Kwa sauti hiyo atakuja tu endelea kumMiss
 
Sijui mzee mwenzangu yupo wapi mpaka watu wanamuanzishia uzi ila bint umefanya jambo jema ukweli husemwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…