Kikosi rasmi cha Taifa Stars AFCON

Haha tunapenda sana mlichukue nyinyi maana mna mda mrefu, tatizo msimu huu umekua na surprise nyingi.

Mpira makombe hayatolewi kwa moral supports, unatakiwa kupigana uwanjani.

Tunapokutana na Tottenham tunaweka assumptions kwamba hawa si wale tunaocheza nao EPL, hawa ni wa UEFA. Hivyo heshima ni muhimu kwa opponent.
 
Umenena, tatizo kuna watu washaajiaminisha kabisa asee

Ila yote kwa yote,gud luky kwenu.
 
Back
Top Bottom