Yanga hawana mtu mwenye assist za upendo kama Chama, hivyo ni rahisi kuona mshambuliaji mfu, Simba ya chini ya Chama walikuwa wanatengeneza nafasi nyingi hivyo hata avarage mshambuliaji ni vyepesi kuwika, muda ni mwalimu mzuri, hadi December utashangaa performance ya washambuliaji wa Simba imeshuka kumbe wameanikwa kutokana na kukosekana Chama.
For my point of view nadhani striker ndo tuko sawa sana sababu hakuna alietoka na kaingia kibu,,
Phiri ni mzuri ila style of play ni kama kibu tu sema kibu ana lack exposure na tough match nyingi za kumjenga aweze kujiamini.