Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,871
- 29,057
Tunaomba matokeo jamani mbona kimya mpaka sasa hakuna updates
Ndoto raha...yaani mtu unaota umeshinda BIKO na TATU MZUKA kwa pamojaMtibwa watakaa tu hawa bao 2 zinawatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu anayefunga magoli ya kiprofeshenoSijui leo Babu Okwi hayupo
Pole sanaMkia ndio basi tena
Vipi umepata salamu zake?.Sijui leo Babu Okwi hayupo