Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Aisee... yani mi kocha niwe golikipa tena?Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...
Kipa.. Asprin
Beki 2: pancho boy
Beki 3@baba swalehe.
Beki 4@bazazi
Beki 5:king ngwaba.
Kuanzia namba sita mpaka kumi na moja. Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf..
Nsije kuonekana napendelea..
Nb mda nawahi isidingo..
si ulisemaga we kipa babu?Aisee... yani mi kocha niwe golikipa tena?
6
Kuwa mpole....Aisee... yani mi kocha niwe golikipa tena?
Nshastaafu... hivi sasa mi ni kochasi ulisemaga we kipa babu?
Hebu kapige winga namba 7 pale
sawa gurdiolaNshastaafu... hivi sasa mi ni kocha
beki 2 ni yangu mzee Sana Vinci atacheza 6 au 8Huyo pancho boy mtoe.. Weka Da vinci
Kwahiyo tukutoe uwe kocha??Nshastaafu... hivi sasa mi ni kocha
Nimebeba mikoba ya Klopp...Kwahiyo tukutoe uwe kocha??
kipa akae nani sasa hahaNimebeba mikoba ya Klopp...
smart tukimleta tatizo ataanza kumuita mahondaw wakeKocha Smart911 huyu yuko vizuri sana katika kutoa miongozo japo akishindwa mambo yao huwa ana waachia wenyewe.
Cc mahondaw
Sent using Jamii Forums mobile app