marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 968
- 1,694
Tangu kuanzishwa kwakwe mwaka 1932 clabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga Sc wamepita zaidi ya wachezaji 1000 walio itumikia timu hii kwa nyakati tofatuti tofauti na vizazi tofauti tofauti.
Kutokana na ukweli kwamba sheria ya mpira wa miguu ambao huko America wanautambua kama Soka unahitaji wachezaji 11 tu uwanjani kutengneza timu basi ndani ya Zaidi ya wachezaji 1000 walipita Yanga ni wanahitajika wachezaji 11 tu wakunda kikosi bora cha muda wote cha Yanga kutokana na mafanikio na mchango wao kwenye timu.
1
2
3
5
6
7
8
9
10
11
11
Pia kocha bora wa muda wote yanga atakae simami kikosi hicho ni nani.