angalia hapaKwa mifuko yetu pendwa ya NSSF & PSSSF
Tunaomba mtuwekee Kikokotoo digital ambapo mtu akikaribia kustaaf anaweza kuweka Mshahara wake na kujua anachotegemea kupata (Lump sum na kile kiasi cha kila mwezi).
Kama ilivyo kwa vikokotoo vya Payee, kodi za magari nk.
Natanguliza shukrani
angalia hapa
Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani Naomba kwa anaejua anisaidiewww.jamiiforums.com
Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Kimsingi mfuko uwa unaangalia ile mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 (miaka mitatu) ambayo mwanachama alipokea ndani ya miaka kumi ya mwisho wa utumishi wake kabla hajastaafu. Hiyo mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 ndiyo ujumlishwa kwa pamoja na kisha kugawia tatu (yaani miaka mitatu) ili kupata wastani wa kipato hicho kwa mwaka mmoja mzima. Hiyo ndiyo APE kwenye formula Iliyotolewa na mdau kwenye comments za awali. Pia mfuko uangalia idadi ya miezi mwanachama aliyochangia kwenye mfuko (ambayo kwenye formula ndiyo N). Hivi vitu viwili ndivyo ubadilika kwenye formula kutegemea mwanachama na mwanachama wakati vingine havibadiliki.
Hivyo formula ya kupata kiasi cha mkupuo kusomeka kama ifuatavyo:
Commutted Pension Gratuity= (1/580) x N x APE x 12.5 x 33%.
Au kama hautaki kuangaika na mahesabu marefu tumia formula hii kupata pesa ya mkupuo:
0.007112 x N x APE.
Na formula ya kupata pension ya kila mwezi formula ni hii hapa chini:
(1/580) x N x APE x 1/12 x 67% au kwa kifupi chukua 0.0000963 × N x APE.
Kwa kutumia mshahara wa 2,116,000 na idadi ya miaka 32 (miezi 384) aliyotoa mleta mada hesabu inakuwa hivi:
Mkupuo: (1/580) x 384 x [(2,116,000 x 12 x 3)/3] x 12.5 x 0.33= TZS 69,346,427.60.
exactly, wanakificha makusudi. Mbona TRA kuna digital formula unaweka figure and you get istant answer.Asante sana japo kwa technologia ya sasa hicho kikokotoo cha manual kimepitwa na wakati.
Kinatakiwa kikokotoo DIGITAL ambapo mteja anatakiwa aweke tu Mshahara wake & Miezi uliyochangia; apate majibu ya Malipo ya mkupuo na pension ya kila mwezi (wastani)
Umewahi kufikiri mzee aliyekuwa amepata SIFURI ya hesabu umpe hicho kikototo cha manual?? nafikiri 70% ya wastaafu hawakielewi/hawawezi kukitumia
Duh mbona hatari sasa kwa sie tulio chini ya milioni 1 si ndio balaa, kama mwenye milioni 2 anaambulia milioni 69 tuangalia hapa
Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani Naomba kwa anaejua anisaidiewww.jamiiforums.com
Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Kimsingi mfuko uwa unaangalia ile mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 (miaka mitatu) ambayo mwanachama alipokea ndani ya miaka kumi ya mwisho wa utumishi wake kabla hajastaafu. Hiyo mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 ndiyo ujumlishwa kwa pamoja na kisha kugawia tatu (yaani miaka mitatu) ili kupata wastani wa kipato hicho kwa mwaka mmoja mzima. Hiyo ndiyo APE kwenye formula Iliyotolewa na mdau kwenye comments za awali. Pia mfuko uangalia idadi ya miezi mwanachama aliyochangia kwenye mfuko (ambayo kwenye formula ndiyo N). Hivi vitu viwili ndivyo ubadilika kwenye formula kutegemea mwanachama na mwanachama wakati vingine havibadiliki.
Hivyo formula ya kupata kiasi cha mkupuo kusomeka kama ifuatavyo:
Commutted Pension Gratuity= (1/580) x N x APE x 12.5 x 33%.
Au kama hautaki kuangaika na mahesabu marefu tumia formula hii kupata pesa ya mkupuo:
0.007112 x N x APE.
Na formula ya kupata pension ya kila mwezi formula ni hii hapa chini:
(1/580) x N x APE x 1/12 x 67% au kwa kifupi chukua 0.0000963 × N x APE.
Kwa kutumia mshahara wa 2,116,000 na idadi ya miaka 32 (miezi 384) aliyotoa mleta mada hesabu inakuwa hivi:
Mkupuo: (1/580) x 384 x [(2,116,000 x 12 x 3)/3] x 12.5 x 0.33= TZS 69,346,427.60.
Wewe subiri ustaafu then uishi kwa 250k kwa mwezi then uone kama utatoboa miaka mitanoDuh mbona hatari sasa kwa sie tulio chini ya milioni 1 si ndio balaa, kama mwenye milioni 2 anaambulia milioni 69 tu
Kweli hapa ni kujiongeza mtu kabla haujastaafu uwe umekamilisha ndoto zako, ukisubiria pensheni ndio ujenge nyumba au kitu chochote cha ndoto yako, utaula wa chuya
Ni ngumu sana kutoboa kwa kiwango hiko, unless uwe na side hustle itakayoweza kumudu gharama zote hizoWewe subiri ustaafu then uishi kwa 250k kwa mwezi then uone kama utatoboa miaka mitano
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Yaani Kwa miaka yote nilikuwa nasikia kikokotoo kikokotoo nimejaribu kutafuta mifano YouTube Kwa pssf, nssf lakini wapi, kama bahati Leo nipo hapa, nimekuelewa sana yaani sana, kumbe wamepunguza mkupuo wameongeza pension ya Kila mwezi. Nmecalucalate ukistaafu Kwa mshahara wa m2 Kila mwezi pension ni laki8 na mkupuo unapata 69,000,000angalia hapa
Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani Naomba kwa anaejua anisaidiewww.jamiiforums.com
Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Kimsingi mfuko uwa unaangalia ile mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 (miaka mitatu) ambayo mwanachama alipokea ndani ya miaka kumi ya mwisho wa utumishi wake kabla hajastaafu. Hiyo mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 ndiyo ujumlishwa kwa pamoja na kisha kugawia tatu (yaani miaka mitatu) ili kupata wastani wa kipato hicho kwa mwaka mmoja mzima. Hiyo ndiyo APE kwenye formula Iliyotolewa na mdau kwenye comments za awali. Pia mfuko uangalia idadi ya miezi mwanachama aliyochangia kwenye mfuko (ambayo kwenye formula ndiyo N). Hivi vitu viwili ndivyo ubadilika kwenye formula kutegemea mwanachama na mwanachama wakati vingine havibadiliki.
Hivyo formula ya kupata kiasi cha mkupuo kusomeka kama ifuatavyo:
Commutted Pension Gratuity= (1/580) x N x APE x 12.5 x 33%.
Au kama hautaki kuangaika na mahesabu marefu tumia formula hii kupata pesa ya mkupuo:
0.007112 x N x APE.
Na formula ya kupata pension ya kila mwezi formula ni hii hapa chini:
(1/580) x N x APE x 1/12 x 67% au kwa kifupi chukua 0.0000963 × N x APE.
Kwa kutumia mshahara wa 2,116,000 na idadi ya miaka 32 (miezi 384) aliyotoa mleta mada hesabu inakuwa hivi:
Mkupuo: (1/580) x 384 x [(2,116,000 x 12 x 3)/3] x 12.5 x 0.33= TZS 69,346,427.60.
Jichanganye[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Kwa miaka yote nilikuwa nasikia kikokotoo kikokotoo nimejaribu kutafuta mifano YouTube Kwa pssf, nssf lakini wapi, kama bahati Leo nipo hapa, nimekuelewa sana yaani sana, kumbe wamepunguza mkupuo wameongeza pension ya Kila mwezi. Nmecalucalate ukistaafu Kwa mshahara wa m2 Kila mwezi pension ni laki8 na mkupuo unapata 69,000,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahah jamaniJichanganye[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh mbona hatari sasa kwa sie tulio chini ya milioni 1 si ndio balaa, kama mwenye milioni 2 anaambulia milioni 69 tu
Kweli hapa ni kujiongeza mtu kabla haujastaafu uwe umekamilisha ndoto zako, ukisubiria pensheni ndio ujenge nyumba au kitu chochote cha ndoto yako, utaula wa chuya
lakini mbona kwenye pension hawazdshi na iyo life expectancy yrs 12.5 ,wkt ndio naona kbsa pangekuwa sahh😇angalia hapa