Kikohozi cha muda mrefu

Kikohozi cha muda mrefu

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
433
Reaction score
616
Wanajamvi habari ya Uzima. Natumaini Mungu anaendelea kutulinda sote. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Naomba msaada wa dawa ya Asili ya kifua ndugu zangu kwani Nimetumia dawa nyingi sana kuzuia hii hali ya kukohoa (kifua) tangu mwaka 2018 mpaka sasa lakini hizi dawa za hospital ni kama zinakuwa msaada ndani ya wiki 3 mwezi hali inarudi kama awali.

Nimetumia sana Tangawizi vitunguu swamu lakini holaaa. Mwenye ujuzi wa dawa ambayo inaweza ikatibu tatizo hili naomba anisaidie wapendwa.

Naomba kuwasilisha
 
Wanajamvi habari ya Uzima. Natumaini Mungu anaendelea kutulinda sote. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Naomba msaada wa dawa ya Asili ya kifua ndugu zangu kwani Nimetumia dawa nyingi sana kuzuia hii hali ya kukohoa (kifua) tangu mwaka 2018 mpaka sasa lakini hizi dawa za hospital ni kama zinakuwa msaada ndani ya wiki 3 mwezi hali inarudi kama awali. Nimetumia sana Tangawizi vitunguu swamu lakini holaaa. Mwenye ujuzi wa dawa ambayo inaweza ikatibu tatizo hili naomba anisaidie wapendwa. Naomba kuwasilisha
Pole mkuu inshu ni kifua au kikohozi?
 
Issue ni kikohozi mkuu sio kifua
Sawa umewah kutumia mchanganyiko wa asali na limao ?kama bado tumia hiyo ,au utafute majan ya mbaazi uyatwange uloweke kwenye maji uwe unakunywa kila mara hope utakuwa sawa
 
Sawa umewah kutumia mchanganyiko wa asali na limao ?kama bado tumia hiyo ,au utafute majan ya mbaazi uyatwange uloweke kwenye maji uwe unakunywa kila mara hope utakuwa sawa
Asantee san mkuu
 
Wanajamvi habari ya Uzima. Natumaini Mungu anaendelea kutulinda sote. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Naomba msaada wa dawa ya Asili ya kifua ndugu zangu kwani Nimetumia dawa nyingi sana kuzuia hii hali ya kukohoa (kifua) tangu mwaka 2018 mpaka sasa lakini hizi dawa za hospital ni kama zinakuwa msaada ndani ya wiki 3 mwezi hali inarudi kama awali.

Nimetumia sana Tangawizi vitunguu swamu lakini holaaa. Mwenye ujuzi wa dawa ambayo inaweza ikatibu tatizo hili naomba anisaidie wapendwa.

Naomba kuwasilisha
Fanya hivi: Chukua majani mabichi green (leaves) ya lufyambo( Abrus precatorius)
osha kama yana vumbi au ni machafu halafu Uyatafune wakati wa kwenda kulala i.e. umeshamaliza shughuli zote kabisa yaani hutakula tena, wala hutakunywa kitu chochote then yatafune(kiasi kidogo tu) labda tuseme kiasi unachoweza kutafuna mdomoni kama vile big G tafuna tuu (mate/maji yatokanayo na zoezi hilo) unaweza kumeza. Fanya zoezi hilo kwa siku tatu mfululizo kila jioni tu wakati wa kulala. Lengo hapo ni yale mate/maji yaloanishe Oesopharengial (Spelling error??) area. Hayo majani yana ladha ya sukari kwa mbalisana. Usichemshe wala kutwanga. Just chew the small leaflets.
Unaweza kuniuliza zaidi kwa ufafanuzi. Asante.
 
Back
Top Bottom