N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,400 Reaction score 3,327 Jul 18, 2025 #41 Hazina ya mama
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,930 Reaction score 4,004 Jul 19, 2025 #42 Kipindi alipofariki JPM, Zitto alipiga kelele kuibiwa pale BOT dhahabu, vipi baada ya kushika usukani mtawala mpya, walifanikiwa kuzirudisha?
Kipindi alipofariki JPM, Zitto alipiga kelele kuibiwa pale BOT dhahabu, vipi baada ya kushika usukani mtawala mpya, walifanikiwa kuzirudisha?
TUKUYU88 Senior Member Joined Jul 25, 2022 Posts 167 Reaction score 433 Jul 19, 2025 #43 Na jeshi lipo tu. Mimi nalaumu sana hili jeshi. Hata sioni kazi yake
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,023 Reaction score 13,206 Jul 19, 2025 #44 Kwa hiyo Maza amepoteza matumaini? Kwamba ni kukomba kilichobaki?
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,543 Reaction score 4,664 Jul 19, 2025 #45 Griss said: Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Acheni uvumi Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever! Join the movement NOW!
Griss said: Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Acheni uvumi Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever! Join the movement NOW!
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,109 Reaction score 41,390 Jul 19, 2025 #46 Griss said: Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... CCM wameiuza Tanganyika yetu utumwani Zanzibar.
Griss said: Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... CCM wameiuza Tanganyika yetu utumwani Zanzibar.
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,543 Reaction score 4,664 Jul 19, 2025 #47 gallow bird said: Tetesi halafu unataka tuliombee taifa Click to expand... Yani hata mimi nabaki kuwashangaa. Taifa limejaza wambea wachawi waropokaji Tu. Hadi kero. Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever! Join the movement NOW!
gallow bird said: Tetesi halafu unataka tuliombee taifa Click to expand... Yani hata mimi nabaki kuwashangaa. Taifa limejaza wambea wachawi waropokaji Tu. Hadi kero. Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever! Join the movement NOW!
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,150 Jul 19, 2025 #48 Griss said: Wakuu pazeni sauti tuokoe nchi Click to expand... Sasa mifumo inaona na haichukui hatua, So sad
Griss said: Wakuu pazeni sauti tuokoe nchi Click to expand... Sasa mifumo inaona na haichukui hatua, So sad
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,179 Reaction score 14,064 Jul 19, 2025 #49 Uzuri Bank Kuna Miamala 2 Kuingia na Kutoka. Time will Tell, Hao wote watalipa wao na Familia zao kwa gharama kubwa
Uzuri Bank Kuna Miamala 2 Kuingia na Kutoka. Time will Tell, Hao wote watalipa wao na Familia zao kwa gharama kubwa