Griss JF-Expert Member Joined Jun 26, 2025 Posts 337 Reaction score 1,945 Jul 17, 2025 #1 Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 907 Reaction score 2,619 Jul 17, 2025 #2 Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani,
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,055 Reaction score 134,370 Jul 17, 2025 #3 Hao majizi wawe na huruma
brAin cRacker JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 942 Reaction score 1,383 Jul 17, 2025 #4 nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 17, 2025 #5 We ujachukua au uja pewa?
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,323 Jul 17, 2025 #6 brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Kuna jambo linatafutwa
brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Kuna jambo linatafutwa
K Katibu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2025 Posts 459 Reaction score 102 Jul 17, 2025 #7 Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Acha upotoshaji,mimi nimeangalia akaunti za taasisi hakuna hivyo vitu,nyie mbona mnapenda upotoshaji sana.
Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Acha upotoshaji,mimi nimeangalia akaunti za taasisi hakuna hivyo vitu,nyie mbona mnapenda upotoshaji sana.
K Katibu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2025 Posts 459 Reaction score 102 Jul 17, 2025 #8 Kipenzi Changu said: Hao majizi wawe na huruma Click to expand... Majizi ya chadema
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 16,863 Reaction score 62,389 Jul 17, 2025 #9 Shamba la bibi
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jul 17, 2025 #10 Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Tangu wameanza kujipigia nani akakamatwa mkuu?
Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Tangu wameanza kujipigia nani akakamatwa mkuu?
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,851 Reaction score 3,209 Jul 17, 2025 #11 brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Umeongea kitu kikubwa sana mkuu.
brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Umeongea kitu kikubwa sana mkuu.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Jul 17, 2025 #12 Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Sema CCM ni majizi
Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Sema CCM ni majizi
S salari JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,768 Reaction score 6,408 Jul 17, 2025 #13 Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Mbona hamna cha ajabu hapo ni utaratibu wa kawaida sana
Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Mbona hamna cha ajabu hapo ni utaratibu wa kawaida sana
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Jul 17, 2025 #14 brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Nimekuelewa vyema na hii akishasema hivi ndio basi
brAin cRacker said: nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara Click to expand... Nimekuelewa vyema na hii akishasema hivi ndio basi
zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,907 Reaction score 6,629 Jul 17, 2025 #15 Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Uhakikaaa au ndio mkikamatwa muanze kusema nanyi mmesikia
Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Uhakikaaa au ndio mkikamatwa muanze kusema nanyi mmesikia
Griss JF-Expert Member Joined Jun 26, 2025 Posts 337 Reaction score 1,945 Jul 17, 2025 Thread starter #16 Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Mkono mrefu umeshikwa na nani?
Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Mkono mrefu umeshikwa na nani?
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Jul 17, 2025 #17 Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Comment hii ya mtu aliyekata tamaa, mtu anachota hela sisi tunasubiri waje wengine wamshughulikie atoe hizo hela puani.
Dkisaka said: Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani, Click to expand... Comment hii ya mtu aliyekata tamaa, mtu anachota hela sisi tunasubiri waje wengine wamshughulikie atoe hizo hela puani.
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 13,027 Reaction score 16,039 Jul 17, 2025 #18 Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Tetesi halafu unataka tuliombee taifa
Griss said: Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni Click to expand... Tetesi halafu unataka tuliombee taifa
N new user2025 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2025 Posts 235 Reaction score 347 Jul 17, 2025 #20 Hukupata mgawo?