Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 18
Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti.
Leo tujiulize ki wapi chama hiki??
Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati ya wanachama na uongozi wa juu kwa madai ya usaliti
Rafiki yangu ZZK hupenda kunukuu kauli ya gwiji Thabit Kombo "tuweke akiba ya maneno" jee ACT ina uelekeo wa SAU, kwa sasa tuweke akiba.