Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,026
- 2,294
Kama katika rushwa ya dpw mwanahabari anapata mpaka $50,000, kwa nini wasitoboe, maana mla rushwa wa kwanza ni mwanasiasa/serikalini.Waandishi wa habari nchi hii ni kundi ambalo wametoboa sana kimaisha baada ya viongozi wa serikali.
Duh la 50,000/-Kama katika rushwa ya dpw mwanahabari anapata mpaka $50,000, kwa nini wasitoboe, maana mla rushwa wa kwanza ni mwanasiasa/serikalini.
Vipi, na shemeji yetu Mzungu naye atakuja Bongo kuanza maisha mapya? All in all, jamaa yupo vizuri kwenye tasnia ya utangazaji.
Hiyo ya kisiasa hawezifanya lolote la maana paleApewe TBC,Dr Rioba kaiua kabisa TBC!!
Rioba naye alikuaga smart.Wakishaingia uko matokeo yake unayajua.Apewe TBC,Dr Rioba kaiua kabisa TBC!!
Tido Muhando alileta mapinduzi,kabla ya yule mwendazake kuleta mambo yake!!Hiyo ya kisiasa hawezifanya lolote la maana pale
TidoArudi tu, nyumbani ni kuzuri.
Wasimfanye tu kama yule wa enzi za jiwe.
TidoDkt.riyoba🙄🙄
WaAfrika wengi sana hua wanajisahau sana hapa, mwisho wa siku hua tunaishia kupokea miiliyao ikirudishwa kwenye mabox pasipo chochote walicho kivuna huko ughaibuniTate Mkuu
Usisahau Huyu anaitwa salim kikeke na ni mwafrika
Possible kapewa ramani kwamba aje Tanzania akabidhiwe TBC, Dr.Rioba muda wake umeisha hana maono mapya tena kwa wakati huu ambao Tbc inataka iwe internationally.Apewe TBC,Dr Rioba kaiua kabisa TBC!!
Una maanisha nini kusema hivyo mimi sijaelewa kabisaaaa aseeTate Mkuu
Usisahau Huyu anaitwa salim kikeke na ni mwafrika