Kikeke ambana Maalim Seif

Mimi niliacha kuangaliaBbc swahili mda mrefu naona mda wao wote hutangaza matukio ya nchi za kiislamu tu nikazarau kuangalia
 
Leo Kikeke kamhoji Ahmed Rajab, mchambuzi wa mambo ya siasa kuhusu kujiuzulu kwa Cameroon kwa ustaarabu wa kutosha..
Alimpa nafasi kubwa ya kujibu maswali kwa wasaa... Sijui tatizo la jana limesababishwa na nini?
 
Nimefurahishwa sana Salimu Kikeke alivyomuhoji Seif
Kwasababu Seif hakuwa na hoja za msingi kwanini hwakushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

Sasa kama maalim hakuwa na hoja kwann kikeke hakumpa nafs ata nukta 1 maalim kuelezea alichoulizwa?? Tokea nimeanza kuskiliza BBC sijawahi kuona mwandishi anavyokuwa mjjinga kama nilivyoona kwa kikeke mara hii analifanya lile shirika kama la mtaani tu
 
Reactions: PNC
wababaishaji wanaonekanaga maeneo kama haya.
 
Ni maswali ya kipuuzi yaliyoulizwa kipuuzi na Salim Kikeke! Kama Salim anakubalina na Maalim kuwa uchaguzi wa kwanza haukustahili kufutwa kwanini ang'anganie swali la kwanini CUF walisusa marudio ya uchaguzi. Nadhani Salim naye anavizia uteuzi, na pengine mkataba wake BBC uko ukingoni anajiandaa...
 
Reactions: PNC
Nimekuwa nikifuatilia habari zao, lakini BBC wamekuwa ni waoga tofauti na DW mfano mahojiano ya Kikeke na Maalim Seif ilionyesha jinsi gani Kikeke alivyo mtumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…