Kikao kilichofanyika ikulu

WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?

Ingekuwa vyema kama ungempigia Salva ama ungetuma e-mail kupitia: mawasilianoikulu@yahoo.com
 
Angalia sasa huo usanii kwani Rais hakujua huo ujio wa Rais wa China hadi kuwaita watu ikulu jumatatu?
 
Hata hivyo mkuu hizi habari zipo kitambo nashangaa huyu jamaa kujifanya hazijui,tulitegemea ikulu ikanushe lakini bila hivyo tuna kila sababu ya kuamini kuwa haya mabo ni fadhila
 
obama kaalika marais wanne tu kutoka africa,mkulu siku hizi naona kama amewasusa wa-america vile.
 
Sasa mlitaka siku ile azomewe na wananchi? Wanasiasa ndiyo walivyo porojo nyingi kuwahadaa wananchi halafu utekelezaji zero ni kama Mbowe na alivyotupiga changa la macho kuwa hataki Gari la Kiongozi wa upinzani bungeni maana linaigharimu taifa halafu kimyakimya akalivuta ndani. Chezea wanasiasa weyeeeeee!!!
 

naona unatamani kuolewa na mbowe
 
Kikao kilifana sana burudani zote zilikuwepo poleni sana nyie wavivu
 
WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?
Mtu wa kuweza kutujuza ni Mhe, Mnyika tu, wengine tunapiga domo.

 
Mkuu kilicho tokea jumatatu ya tarehe 25/03/2013 ni Jakaya Mrisho Kikwete kuandika historia ya ku-sign mikataba tata kumi na sita kwa mpigo na rais wa China;

"This is possible only in Tanzania"

Wachina wanaweza kusaini mikataba mingi hivyo kwa serikali ''corrupt'' tu kama serikali ya CCM (Wang'oa meno, kucha, na wauaji wa wanaharakati na watetezi wa wanyonge)
 
na wewe eti ni great thinker. kweli tuna safari ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…