<br />h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Inaelekea comment ya jamaa imekuuma sana. Ila mimi naweza kuamini kuwa ni kweli kutokana na mambo yanayotokea Tanzania, its possible, mfano;
-Tanzania chama cha siasa kinaweza kuingia bank kuu na kuiba hela za kufanyia kampeni na ikawa ni kitu cha kawaida tu.
-Tanzania watu wanaweza kwenda kuiba wanyama kwenye mbuga za wanyama na kuwapisha Airport na hakuna shida kabisa.
-Tanzania ni nchi ambayo unaweza kujenga nyumba katikati ya barabara na hakuna anayejua mpaka utakapomaliza ndio wanaamka na kukumbuka kumbe umejenga barabarani.
-Tanzania ina uhuru wa miaka kama 50 na maji hayapatikani 5 kilometres kutoka Ikulu.
Sasa madai ya huyo mwanaJF sio ya kupuuzia kabisa.
Hivi alipowaita Mnyika et al waje ikulu 25/3/2012 hakujua kuwa Bwana Xi atakuja Tanzania?
h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

haya yalisemwa hadi
KAMANDA TUNGEPATA HIYO PICHA YA R1 INGIPENDEZA
BABA IBA WALI MTT MADAWA
haya yalisemwa hadi
KAMANDA TUNGEPATA HIYO PICHA YA R1 INGIPENDEZA
BABA WALI JKT Mtt MADAWA
Bila kutaja neno ikulu thred haipati wasomaji
wewe upo kundi gani kata ya uliyoyataja mkuu?h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Inaelekea comment ya jamaa imekuuma sana. Ila mimi naweza kuamini kuwa ni kweli kutokana na mambo yanayotokea Tanzania, its possible, mfano;
-Tanzania chama cha siasa kinaweza kuingia bank kuu na kuiba hela za kufanyia kampeni na ikawa ni kitu cha kawaida tu.
-Tanzania watu wanaweza kwenda kuiba wanyama kwenye mbuga za wanyama na kuwapisha Airport na hakuna shida kabisa.
-Tanzania ni nchi ambayo unaweza kujenga nyumba katikati ya barabara na hakuna anayejua mpaka utakapomaliza ndio wanaamka na kukumbuka kumbe umejenga barabarani.
-Tanzania ina uhuru wa miaka kama 50 na maji hayapatikani 5 kilometres kutoka Ikulu.
Sasa madai ya huyo mwanaJF sio ya kupuuzia kabisa.
Waelevu wa mambo, wajinga na wapumbavu wote utawakuta jf . Ff haina ubaguzi ndio maana kila mtu anaandika anachotaka hata kama ni uzushi, uwongo, umbea na fitina zote utazipata. Kikao cha ikulu kilikuwa ni siri we umbea huu uliutoa wap. Usiwe mnafiki ndugu.
Ukirusha mawe kwa jambazi/mwizi aliyejificha vichakani,halafu ukasikia sauti kilio cha maumivu,ujue umemlenga.Huenda damu zinamtoka.h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
<br />
<br />
Hakuna cha ajabu........kule Urusi wakati wa ziara ya Rais wa China imesainiwa mikataba 30 . Angalia link chini hapo
China to purchase fighters, subs from Russia: state media - Taipei Times
WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?
Hiyo inaitwa kibaki style, muulize Odinga atakwambia. Bila katiba murwa hapa hamna kinachoendelea.Tatizo sio idadi ya mikataba ila ni uharaka na usiri katika kusaini hiyo mikataba!!