Kikao Cha Siri Cha Membe na JPM

Wapinzani sijui akili zao wameweka wapi, matapishi ya 2015 bado wanayataka kuyaweka mdomoni
CHADEMA hawajahi kukiri hilo kosa la 2015 na hawajatuomba msamaha kwa hilo! Badala yake wanatuletea gwanda linguine wakituaminisha ni "jembe" kama mwanzo!
 
CHADEMA hawajahi kukiri hilo kosa la 2015 na hawajatuomba msamaha kwa hilo! Badala yake wanatuletea gwanda linguine wakituaminisha ni "jembe" kama mwanzo!
Nachowashangaa hao watu ni kama walishindwa kufanikiwa wakati wa lowasa sasa watawezaje kushinda wakati wa lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…