CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,257
- 12,876
Usijali mpendwa charminglady.......mie na cacico wala hujakosea kutuweka hapo lol.....naomba King'asti, Preta, Blaki Womani na ummu kulthum wapewe kamati ya mapambo kwani wanaimudu vema.
sweetlady nikiwa kama mwenyekiti,unaweza ukanipa sababu za kuwateua ummu kulthum, Preta, Blaki Womani na King'asti wawepo kwenye mapambo?
haa! nimemsahau mweka hazina Kongosho, usisahau kupitia zile pledge za akina Cantalisia, King'asti, BADILI TABIA, Yummy, ummu kuluthum na Ronn M pamoja na mkewe jeneneke.
N.B: MUDA UZINGATIWE NA ATAKAYECHELEWA ATATOZWA FAINI YA KRETI YA ZAGAMBA. . .
Usijali mpendwa charminglady.......mie na cacico wala hujakosea kutuweka hapo lol.....naomba King'asti, Preta, Blaki Womani na ummu kulthum wapewe kamati ya mapambo kwani wanaimudu vema.
Wanajua kupamba Madame B .....afu mwenyekiti mbona mkali hivyo jamani?
Haya jamani wanakamati,
mwenyekiti ndio nawakumbusha tena.
Uonapo tangazo hili please,tafuta mwenzio uliepo nae kwenye kamati yako ili mjue jinsi ya kuwasilisha mambo yenu.
Na ole wake atakaekosa.
Faini elfu 50/=
Harusi hii hatutaki iende lelemama.
Tunataka tuwafunike waliotangulia.
Mwenyekiti nitavaa sura ya kinyago,sitacheka na mtu hyo tarehe.
mh, nawaaminia kwa chakula kitamu. mapambo yupo shost angu kipenz beibe nasty na dadangu gfsonwin. nao hatapo nyuma. we utaona tu!
Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.
Bibi harusi mtarajiwa umekunywa nini?
Mbona unasahau sahau?
Endelea...
wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua. na sherehe ikiharibika lawama hutupiwa mwenyekiti. big up sana mwenyekiti wangu!
nina haki ya kusahau make fundi kantibua. kanishonea shela kimini kweli,anadai ndo nyu fasheni
Haya bi harusi wetu mtarajiwa..........ila mie simfahamu shemeji lol hadi aibu eeh!
Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.
wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua. na sherehe ikiharibika lawama hutupiwa mwenyekiti. big up sana mwenyekiti wangu!
hhahahaha! hebu rudi kwenye heading utamfahamu lol. . .