kikao cha mwisho cha kamati ya maandaliz ya harus ya charminglady na mtotosix

Hahahaha kweli charminglady wala hajakosea kukuweka kwenye hiyo nafasi ya uenyekiti lol!

Hii harusi lazima iwe ya mfano wa kuigwa.....wanakamati wote tuko fiti kwenye kila idara hivyo usiwe na wasi Madame B

Yaani hilo ndilo ninalolitaka litekelezeke sweetlady,
Harusi nyingi zikiwa mambo pungufu lawama mnamtupia mwenyekiti,sasa safari hii ni mbombokafu,
wakimwaga mboga,
mwenyekiti nauzoa naulia ubwabwa.
charminglady Shela liko tayari?
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na shida kabisa wangu mambo yatakwenda vizuri na hakuna atakaye kusumbua mambo yatakwenda sawa!

Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.
 
mamie sio nyu memba.. . sema ye huishi nje ya nchi (nje ya chit chat) ni mwenyeji wa nchi za ulaya (jukwaa la technoloy) ngoja nimemuita anakuja saiv!

Bora ulivyomuita manake ntajapigana vikumbo na shemeji bure afu anione sina kheshima wakati wewe mwenyewe wajua nilivyo na debe la kheshima!
 
Yan charm amepatia sana kukuweka wewe mwenyekiti baby wangu maana we ni mzoefu alaf itabidi nikutafutie mlinzi kwa usalama wako!

Halafu hubby wangu sikiliza,wewe ni katibu wangu.
Mimi siku hiyo ni Boss,
mambo yako ya u-mume usilete kikaoni kule.
'Mume wangu' iishie mlangoni siku hiyo,tukifika kikaoni utanisikiliza mimi.
Na nina haki ya kukuletea za kuleta.
Hasira za pale tafadhali tutazimalizia home hubby baada ya kutoka kikaoni.
 
Yaani hilo ndilo ninalolitaka litekelezeke sweetlady,
Harusi nyingi zikiwa mambo pungufu lawama mnamtupia mwenyekiti,sasa safari hii ni mbombokafu,
wakimwaga mboga,
mwenyekiti nauzoa naulia ubwabwa.
charminglady Shela liko tayari?

yan acha tu, fundi si kanishonea kimini et nyu fasheni. nimempa 24hrs niikute shela nlochagua!
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhh.......... haya la aziz wangu charminglady nimekuja wanifahamu wote wanakamati. nadhani wasifu wangu unajulikana, mimi sio mwenyeji wa maeneo ya chit chat ila uwa nakujaga mara moja moja kumsalimia mpenzi wangu na kumpa sapoti ya hapa na pale.....
 
Nimefurahi kukuona shemeji.............kweli charminglady kapata mume
 
Last edited by a moderator:
Halafu hubby wangu sikiliza,wewe ni katibu wangu.
Mimi siku hiyo ni Boss,
mambo yako ya u-mume usilete kikaoni kule.
'Mume wangu' iishie mlangoni siku hiyo,tukifika kikaoni utanisikiliza mimi.
Na nina haki ya kukuletea za kuleta.
Hasira za pale tafadhali tutazimalizia home hubby baada ya kutoka kikaoni.

Khaaa!!!!!!!!!!! hubby kazi anayo
 
Hakuna shida bab lakini usije ukapigana maana mimi sitaweza kuvumilia kuona mtu ana kugusa!

Halafu hubby wangu sikiliza,wewe ni katibu wangu.
Mimi siku hiyo ni Boss,
mambo yako ya u-mume usilete kikaoni kule.
'Mume wangu' iishie mlangoni siku hiyo,tukifika kikaoni utanisikiliza mimi.
Na nina haki ya kukuletea za kuleta.
Hasira za pale tafadhali tutazimalizia home hubby baada ya kutoka kikaoni.
 
Hehehheeh nakuaminia mama lol.....Shela imeshonwa kimini tehe!

sweetlady,
mimi nilimueleza charminglady tangu awali kuwa yule fundi Mbawala anashonaga nguo huku akiwa bwaksi.
Ona sasa kashona kimini.
Na tarehe zimeisha jamani.
Kama vipi nitakuja na kipande cha kitenge aunganishe chini ya shela!!
Hata kama anatuhujumu tusifanye sherehe tutaifanya tu.
Lol!!!
 
Last edited by a moderator:
yupo njian anafika sasa hv, alienda kufatilia ukumbi!

Ashakuja nimemuona lol.....sasa mie wacha nipumzike kidogo afu ntarudi baadae kujua nini kimeendelea!
Madame B hakikisha ukiondoka humwachi bi harusi to be!......kuna watu naona washaanza kumkodolea majicho hapa!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady,
mimi nilimueleza charminglady tangu awali kuwa yule fundi Mbawala anashonaga nguo huku akiwa bwaksi.
Ona sasa kashona kimini.
Na tarehe zimeisha jamani.
Kama vipi nitakuja na kipande cha kitenge aunganishe chini ya shela!!
Hata kama anatuhujumu tusifanye sherehe tutaifanya tu.
Lol!!!

Hahahahahahahah......khaaa lol. Natamani kweli kuiona hiyo shela
 
mhhhhhh.......... haya la aziz wangu charminglady nimekuja wanifahamu wote wanakamati. nadhani wasifu wangu unajulikana, mimi sio mwenyeji wa maeneo ya chit chat ila uwa nakujaga mara moja moja kumsalimia mpenzi wangu na kumpa sapoti ya hapa na pale.....

haya sweetlady umemuona shemejio?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom