Kikao cha Marais wa Afrika Mashariki Kuanza Leo Jijini Dar

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,237
IMG_20170520_100607.jpg

Kikao cha Marais wa Nchi za Afrika Mashariki kinatarajia Kuanza Leo Jijini Dar es Salaam kwa Mara ya kwanza.

Kikao kilitakiwa kifanyike Arusha kama ilivyozoeleka lakini Rais John Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya hii akaamua kifantikie Dar es Salaam.

Museveni Anatarajia Kuchukua nafasi ya jumuiya hiyo kongwe.

Stay Tuned kwa updates.
 
Aisee Rais Uhuru Kenyatta hajaja! Kapanic nini? Haina shida namuona William Somei Rutto hapa

IMG_20170520_121215.jpg
 
Atalisha wenzie pipi kifua na karanga kwa kisingizio cha kupana matumizi, afu baadae hata haitajulikana hela iliyobanwa imeishia wapi. Shkamoo kichwa rungu.
 
Wanakuja kunywa kahawa na kubadilishana mbinu,.wapinzani wa afrka ya mashariki hawajawahi hata kukutana ana kwa ana.
 
Kikao cha Marais wa Nchi za Afrika Mashariki kinatarajia Kuanza Leo Jijini Dar es Salaam kwa Mara ya kwanza.

Kikao kilitakiwa kifanyike Arusha kama ilivyozoeleka lakini Rais John Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa jumuiya hii akaamua kifantikie Dar es Salaam.

Museveni Anatarajia Kuchukua nafasi ya jumuiya hiyo kongwe.

Stay Tuned kwa updates.
Kama uhuru kenyetta huyupo basi hicho kikao hakina maana, uhuru ndiyo akili kubwa kwa afrika mashariki
 
Back
Top Bottom