Kikao cha mabaharia

Kikao cha mabaharia

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,305
Tahadhari kabla ya ajali,

Hizi mambo za kujifanya mna mapenzi sana mpaka mnaua watoto wa watu ziishie hapa 2019. Tumechoka kuja kuwaona gerezani.

Tunakumbushana tena usisomeshe mwanamke. Kama baba yake hakumsomesha wewe ni nani!

Acha ujinga umemtamani bila elimu ishi naye hivyo hivyo.
 
Baharia hajutii matumizi ya pesa, cha muhimu, MV Kijimwambafy inakata maji ya Bahari na kuingiza pesa.
 
sahivi kama tulivyokubaliana kwenye kauli mbiu zetu

hakuna kuoa single mama ataolewa na aliyempa mimba

watoto wazuri ni wale waliozaliwa 2000 hawa wengine labda itokee tu maana sometimes simba anakula nyasi akikosa nyama

ukitaka hela njoo ifate ghetto

chura muhimu kama hauna chura kama unaitwa batuli hauna tofauti na bakari

mwanaume lazima uwe mkali kutia mtu mkofi mkono usiwe mzto hata karate pia sawa taich kung fu kareti na vitunguu

wengine wataendelea na mwakan tumejipanga
 
Halafu eti nimtumie mtu hela! Mimi huyu! Na yakutolea juu,ifate geto tumalizane marufuku mkopo.
 
Back
Top Bottom