ni juzi tu tumesoma watu wamepigana mapanga kwa sababu ya kuchinja, leo tena mikutano ya kikanda.
waliopigana mapanga huko geita sio watu wanaoshinda hapa JF au watu wa maofisini, ni wachinjaji sasa mchinjaji ana uwezo gani wa kuchanganua na kupima mambo.
point yangu ni kwamba taifa letu wajameni ni bado sana kwa mambo ya fikra za ukanda ni kutafuta matatizo mengine.
Kwanini wengine hawalioni hili.

Mkuu chama,
Makamanda wanajichanganya wenyewe kwa wenyewe.
Mbowe mwenye chama anasema kanda ya Kaskazini ni Kilimanjaro, Manyara, Arusha tu.
Huyu kamanda analazimisha kuiweka Tanga kanda kaskazini wakati wameishaitoa.
Chadema hawaelewiki.
.......
elimu gani wewe utanipa mimi hapa nina mivitabu ya kumwaga kuhusu siasa heck ninavitabu vinavyoonglea sera ya majimbo tu in relation to democracy, nina vitabu vinaongelea siasa za marekani na sera za majimbo, nina vitabu vilivyojaa conflict kutokana na sera majimbo to think i only read this for the sake of understanding human behavior in relation to their external environment.......i dont think wewe unaweza ni funza kitu believe me.Wewe unahitaji elimu ya ziada kuhusu jambo hili, kama ihitajikavyo busara kumjibu mjinga.
Unapaswa kutuliza vizuri akili yako na ufuatilie ufafanuzi wa faida ya sera hii ya majimbo na kanda.
wewe unaelewa kauli za viongozi wa CDM tu hata ukiambiwa uruke katikati ya bahari utalielewa hilo, akili iliyochotwa tayari aiwezi elewa chochote just like a conditioned pavlov's dog.Mamaaa sijakuelewa una maana gani??!!
..."Kuigawa nchi katika majimbo 10" hapo neno Kuigawa Nchi ni Utata mtupu!
Kwa utaratibu huu wa kanda lazima kuna watu watajibeba kwa mbereko ya mrenda. Hawataki mbunge lionekane live, watasema "hawaungi mkono chadema kujiendesha kwa kanda" wakiulizwa kwa nini watasema "watawasumbua wananchi huko kwenye kanda kama jinsi wabunge wao wanavyo wasumbua wananchi kwenye tv"
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ni juzi tu tumesoma watu wamepigana mapanga kwa sababu ya kuchinja, leo tena mikutano ya kikanda.
waliopigana mapanga huko geita sio watu wanaoshinda hapa JF au watu wa maofisini, ni wachinjaji sasa mchinjaji ana uwezo gani wa kuchanganua na kupima mambo.
point yangu ni kwamba taifa letu wajameni ni bado sana kwa mambo ya fikra za ukanda ni kutafuta matatizo mengine.
Kwanini wengine hawalioni hili.
........
|
| |
|
amna aliesema ni kanda za ukabila its only that ukabila is already embedded in people's mind therefore it could be used to invoke emotions under a craftily demagogue if needed.
Mkuu! Mimi nimeelewa kuwa ni kanda za kiutawala si za kikabila. Na kuhusu wachinjaji kutokuwa na weledi wa mambo ingefaa ufafanue ni kundi gani la watanzania ni bora na unataka lipewe kipaumbele kuliko lingine.
Kama hujaelewa kuhusu sera ya majimbo ni vema kufuatilia matamko na mikutano ya wanaohubiri sera hiyo koliko kubaki na sumu mbaya ya kifikra kuhusu majimbo.
Pia ni vema ukiuliza maswali kwa mleta mada naamini atakujibu, kuliko kukimbilia kukejeli wachinjaji wa mifugo na kusifia wachinjaji wa maendeleo yetu.
nice one ila kuna watu wana ugonjwa northernphobia wataanza matapishi yao ya kibaguzi