Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,992
- 31,698
Sawa muda ni rafiki mwema tuombe uzima tuNikujibu kiufupi! Mgogoro WA madiwani na wabunge kuhama Chama Ni Matokeo ya Mtu mmoja kupigwa risasi, Lissu na ndugu yake Nyarandu kuondoka CCM, ndipo hao 'wenye akili' wakaona kununua wabunge na madiwani kuta neutralize hiyo saga!
Wenye Akili kote huko tumeshafikaa ILA what is gonna be the end results? "wenye Akili" wanafikilia utakuwa Ni Mwisho WA CHADEMA! ON which haitakuwa hivyo Bali otherwise! Jipe muda utaelewa na ikariri hii posti I give you a year from today!!
Jamii haiipokei vizuri whatsoever ' wenye Akili" wanafanya so Baath party itadhihirika Tanzania!