Ngongo umefanya vyema kutoa picha halisi hapo ni watu kutaka kuendelea kutnisha matumbo yao wananchi hawawataki gambo wala muro wa umbeya wa ndugai wala utapeli wa Magufuli muda utaongea huko nchi inakopelekwa
Yaani watu wakiwa nje ya eneo utadhani hizo propaganda zao wanazozifanya na mazingahombwe wanachi wanayaamini kumbe wamepoteza legitimacy hakuna kitu viongozi wa ccm wakafanya wananchi wakaamini wanawadoubt kwa kila kitu hii ni hasara sana kwa nchi kuwa na chama na utawala usiaminikaMzee mmoja wa makamo kidogo anichape kibao nilipomwambia kama alishiriki kikao cha Washili “Tangu lini kikao cha Washili wanawake wakashiriki” aliniambia Mzee huyo huku macho yakimtoka ungefikiri kavamiwa na Fisi.
kwani hawa siwapo nyuma ya Nassari?? Kwanini tuendelee kumtetea mjinga ambaye anasema hajutiii kuvuliwa Ubunge??, hii ni kauli chafu na ya kuchafua chama ameonesha wazi hili suala kalifanya kwa kudhamilia kabisa. Bungeni ndio ofisini kwake hata kama nikuuguza kwani hazijui taratibu za kiofisi?ukiomba ruhusa kwa Boss wako ruhusa hukamilika pale unaporudishiwa majibu ya ndio au hapana. Tuache kutetea ujinga Nassari kaifedheesha sana Chadema kuliko mtu yeyote asee. Fukuzaa wapuuzi wa hivii.
usitazame alipoangukia tazama sababu zilizomfanya kuanguka. bila yeye kikao hicho kingekuwepo?Unachanganya mada mbili tofauti,suala la Nassari kufukuzwa na press conference yake ni mada nyingine kabisa.
Ebu tujikite katika kikao cha Washili chini ya mti wa Mringaringa na si mambo mengine.
Sasa Katiba ikifuatwa Nassari si hatokuwa Mbunge?hujasikia akimuomba Spika "ambebe"?Heshima kwenu wanajamvi.
Leo Jumapili ya tarehe 17 March 2019 nilitembelea viunga vya wilaya ya Arumeru kwa uchache labda nivitaje viunga vyenyewe Ngurdoto,Ngongongare hadi gate la Arusha National Park na Majibya Chai.
Katika pitapita yangu nilifanya udadisi juu ya kikao cha Washili na athari zake kwa Mbunge mtimuliwa (nsataafishwa) Mh Nassari.
Nilifanya mahojiano na zaidi ya wananchi 50 wa rika mbali mbali wazee,Vijana,Wanawake na wanaume.
Mrejesho wa mahojiano yangu na wana Meru ni kama ifuatavyo,
Gari lililotumika kutoa matangazo ya Mkutano ni mali ya CCM.Lillitangaza Mkuu wa mkoa Mh Mrisho Gambo na Mkuu wa Wilaya wangehutubia.
Katika mkutano Mshili Mkuu na baadhi ya wakereketwa wa CCM wakawa vinara wa kuongea.Mkuu wa Mkoa na Wilaya walijiweka kando.
Kwa mujibu wa taratibu wa mila za wameru Vikao vya Washili kinafanyika chini ya mti wa Mringaringa na wanawake hawaruhusiwi kushiriki wala kuhudhuria.
Mshili Mkuu Mzee Sumari ndugu yake wa ukoo alishindwa katika uchaguzi na Mh Nassari.
Vikao vya washili ni marufuku kuingiza masuala ya siasa.
Washili waliohudhuria ni chini 2% ya Washili wote wa Meru.Mh Nassari pia ni Mshili kwa mujibu wa nafasi yake ya ubunge alipaswa kuitwa kwa nafasi yake.
Washili wa Meru wamegawanyika wale wa CCM wanafurai wa CDM wamenuna wanataka katiba ifuatwe.
Hata wengi walivaa nguo za CCM tumewaona kwenye video hivyo huna jipyaHeshima kwenu wanajamvi.

Najiuliza wafanyakaz wote tz wangefanya kama alivyofanya Nassar ofisin kungeonekana mtu kweli?? ujinga mwingine siwakutetea hata kidogo.kwani hawa siwapo nyuma ya Nassari?? Kwanini tuendelee kumtetea mjinga ambaye anasema hajutiii kuvuliwa Ubunge??, hii ni kauli chafu na ya kuchafua chama ameonesha wazi hili suala kalifanya kwa kudhamilia kabisa. Bungeni ndio ofisini kwake hata kama nikuuguza kwani hazijui taratibu za kiofisi?ukiomba ruhusa kwa Boss wako ruhusa hukamilika pale unaporudishiwa majibu ya ndio au hapana. Tuache kutetea ujinga Nassari kaifedheesha sana Chadema kuliko mtu yeyote asee. Fukuzaa wapuuzi wa hivii.
Hivi wewe unajadili nasi as if tulikuwepo Meru. Acheni propaganda za kitoto, maana kwa kila jambo kuna wanaolikubali na wanaopingaUnachanganya mada mbili tofauti,suala la Nassari kufukuzwa na press conference yake ni mada nyingine kabisa.
Ebu tujikite katika kikao cha Washili chini ya mti wa Mringaringa na si mambo mengine.