Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Simba Jana imeonesha Mpira Mbovu Mukiendelea Kucheza style ile Yanga atawapiga Hata goli 8Hivi ulitegemea kama banda atacheza mpira mwingi kama ule jana.. na huyo ni sub.. mwinyi kazimoto.. hua napenda kumuita ball dancer.. sasa naye ni sub.. nadhani mnamtambua vizuri hasa hasa juma seif kijiko.. kuna mavugoal.. huyu rekodi zake tu zinatosha kujigamba.. japo yupo kwenye mapito.. kuna beki kisiki murshid.. ukitaka kupata habari yake muulize ayew wa Ghana alichomfanya katika mechi za kufuzu CAF.. kuna kiberenge hamad juma.. what more can I say.. kuna manyika jr n.k dah Sub wametimia sana.. Hivyo hilo suala la red card, sijui majeruhi havitatuzuia kamwe.
Bila shaka umeelewa kinachomaanishwa by the way hili si jukwaa la kiswahiliJifunze kiswahili kabla ya kudiriki kuwaita watu limbukeni.
Itawadhihilishia ndio nini?
Kwa ulimbukeni wako unaona kama ligi imekwisha so siwezi kukushangaa, maana umekunya kichakani halafu unageuka kuyatazamaMda unaenda Mkuu.. hiyo soon itafika lini? Endeleeni kusubiri kutudhihirishia wakati sisi tunachanja mbuga.. Hadi hiyo soon yenu ifike.. sisi tutakua tushatangaza ubingwa kitaaaaaambo.
Tuko pamoja kwa jambo moja. Msimbazi likiingia anga zangu ni kuwapa akina mama ntilie wafungie mandazi.Mkuu mimi hua nadili na vitu bora.. Msimbazi ni gazeti bora kwa sasa kutokana na utafiti uliofanyika hivi punde.
Jagwani nilikua nalinunua sana hadi hivi sasa nalinunua.. si kwa kulisoma, bali hua nampelekea mama sayuni awafungie wateja wake vitumbua na chapati anazouza.
Mkuu hili ni jukwaa mtambuka.. tunatumia lugha zote, kiswahili na kingereza. Sharti ziwe lugha fasaha.Bila shaka umeelewa kinachomaanishwa by the way hili si jukwaa la kiswahili
Sio kweli simba sio nzuri kwenye defence. kinacho ibeba simba na kuoneka kama simba ina ulinzi imara ni mfumo anao tumia kocha uwanjani..Kama kawaida yao wanajaribu kubadili ukweli kwamba Simba anaongoza tena kwa pointi 4.Kocha yeyote mzuri anapoanza kujenga timu ni lazima aanze na defence. Na kwa defence za timu zote hamna ubishi kwamba ipi ni bora mpaka sasa. Unaweza ukawa na washambuliaji wazuri ukawa una concede magoli ya hovyo. Pia unaweza kuwa na defence nzuri kama ya Simba ukashinda kwa sababu risk ya kufungwa inakuwa ndogo. Mourinho na Man United ni mfano hai wa ninayosema. Ameweza ku sort out defence timu imeanza kucheza kwa kujiamini hivyo hivyo kwa Conte ambaye baada ya kufungwa goli 3 na Arsenal alibadili mfumo na defence ikawa stable na matokeo yanaonekana . Arsenal wamekuwa na tatizo hilo miaka nenda rudi ya kuwa na viungo wazuri na washambuliaji wazuri bila walinzi wazuri.Ndio maana Wenger amejaribu kuimarisha defence .
Ni jukwaa la kireno?Hivi huko shuleni ulifundishwa nini?Bila shaka umeelewa kinachomaanishwa by the way hili si jukwaa la kiswahili
Rudi kwenye mada achana na mambo ya shuleNi jukwaa la kireno?Hivi huko shuleni ulifundishwa nini?
hii mechi ina kumbukumbu mujarabu katika maisha yanguNa mzunguko wa kwanza uli comment kuhusu hiyo Simba unayodai ilikuwa vizuri?Mzunguko wa pili hiyo timu yako unayoishabikia imeshapoteza pointi 2 na hiyo Simba unayoishangaa imeshinda mechi 3 mfululizo.Baada ta mechi 3 mzunguko uliopita Simba ilikuwa na pointi 7 sasa ina pointi 9 baada ya mechi 3.Hiyo tathimini yako umeijenga kwa mantiki gani?Kufungwa Simba goli 8 ni ndoto tena ya mwendawazimu. Mliongoza 3 bila tena kwa Simba dhaifu kwa miaka ya karibuni zikarudi zote. Nyie bila msaada wa warefa hamna timu hata ya kutoa droo na Simba wachezaji 11 kwa 11.Mlihemeshwa na wachezaji 10 mkabadili kocha.
Jukwaa mtambuka ungeongea upuuzi kiasi hiki? Nakuona kama limbukeni mmoja hiviMkuu hili ni jukwaa mtambuka.. tunatumia lugha zote, kiswahili na kingereza. Sharti ziwe lugha fasaha.
Alafu Mkuu huoni kua kupitia hili hili jukwaa wewe na mwenzako mnaua ndege wawili kwa jiwe moja?
Mnapata darasa la mpira na darasa la lugha adhimu ya kiswahili??
Mkuu, hao ni SHILAWADU. Wanaongea balaa. Kuongoza ligi imekuwa nongwa mtaani hatunywi maji.Mkuu sibonike achana na hao malimbukeni , hawajui chochote zaid ya mihemko, Yanga itawadhihilishia soon ubora wake
Hiyo mada unayoizungumzia ni sharti ujue kuandika ili watu wakisoma waelewe ulichoandika. Kama hujui kuandika kwa mtiririko unaoeleweka hiyo mada tutaijadili vipi?Rudi kwenye mada achana na mambo ya shule
Mkuu wacha matusi. Utatukanwa ukitukana.Mkuu, hao ni SHILAWADU. Wanaongea balaa. Kuongoza ligi imekuwa nongwa mtaani hatunywi maji.
Ondoa fikra butu kichwani mwako Simba SC hata iwe na wachezaji pungufu, Mkodisho FC hawawezi kupata ushindiSimba Jana imeonesha Mpira Mbovu Mukiendelea Kucheza style ile Yanga atawapiga Hata goli 8
Ruvu Jana imeonekana Timu Bora Kuliko Simba Sawa Mumeshinda Lakini Simba ya Jana siyo Simba ile niliyoiona Mzungo wa Kwanza.