Ushauri mzuri sana mkuu. Tatizo ni kuna wachache wanaona wana birth right ya kutukana wenzao na wao wasitukanwe.Unapojadili mada wanakuja na lugha zao za matusi wakijibiwa ndio wana play role ya victim. Unapowasha moto at least uwe na uwezo wa kuhimili joto lake.Ustaarabu huzaa ustaarabu. Ukija na ujahilia utakuwa treated as jahili.Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
Mkuu, hakuna anayebisha kuhusu msimamo wa ligi. Mnyama anaongoza kwa point nne. Tunasema tu ligi bado.
It is not done until its done!
Safi sana.. Lakini kwenu kwanini wachezaji watano wamekalia kuti kavu.? yaani mechi na African lion imewapagawishe kiasi hiki, je ukikutana na Mnyama round ya lala salama si utafukuza timu mzima.Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
Mkuu unajua Mnyama mkali huwa watu wanapagawa wakiona yuko kileleni
Hana haja ya kutumia fedha nyingi kwa wachezaji kusajili, lakini angalia mfano Chirwa 200ml na huku wanatamani wawachukue kila mchezaji wa Simba
Hapa Tanzania vyuo vya Soka ni viwili tu ni Simba SC na Mtibwa
Sawa mgongo wazi,chura "light".Goli alifunga mchezaji wa Ruvu Shooting.Mikia wakipata goli la kubebwa keleleee.....
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.Safi sana.. Lakini kwenu kwanini wachezaji watano wamekalia kuti kavu.? yaani mechi na African lion imewapagawishe kiasi hiki, je ukikutana na Mnyama round ya lala salama si utafukuza timu mzima.
Mtani mpira umewashinda mmerudi mezani. Tuanze ligi sawa kwa pointi za mezani?Tonge limewashinda mnakimblia kumaliza mboga. Kweli upinzani umewashinda.Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
Waje wanunue kwa mujibu wa sheria za soka zinavyotaka si figisu za akina Yondani na Kessy na MessiJuzi juzi hapa.. Tumepokea wahitimu waliofuzu vyema toka Simba B ambao wametoka kuchukua ubingwa wa kombe la U-20 kwa style.. Hii ni hazina kubwa sana kwa sasa na baadae. Yanga na Azam karibuni sokoni.
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
Vingenevyo ligi ingesimamishwa na mnyama apewe ubingwa.Hapa Ndiyo Mashabiki Wa CHANETA FC munapojichanganya....
Round Ya Kwanza Nzima Muliweweseka Kuwa Simba Baiskeli Ya Miti Karibu Atawapisha Kwenye Nafasi Yenu! Lakini ikashindikana....
Sasa Jiulize Kuwa → Roundi Ya Kwanza ilianza Simba Akiwa na Points 00 na Yanga Akiwa na Points 00 Kwa Maana Walikuwa Sawa Lakini Yanga Kashindwa Kumuondosha Simba Kileleni!!!!! Je Yanga Huyo Ataweza Kumuondosha Simba Kileleni Anaeianza Round Ya Pili Kwa Points 4?????
Au Ndiyo Munaziji Kujijengea FALSE HOPE kwa TOTO na YANGA kuwa Ndiyo Points 6 atakazopoteza Simba?
Huna groap la michezo la WhatsAppVingenevyo ligi ingesimamishwa na mnyama apewe ubingwa.
Maneno ya ushabiki kando, ngoma bado mbichi. That is the point. Mnaweza kuwa na point 9 juu huku ikiwa imebaki michezo mitatu ligi iishe na lolote likatokea. Ndiyo mpira wenyewe. Chelsea anaongoza EPL tena kwa point 6 lakini wametulia wakijua lolote laweza kutokea kwenye mpira.
Narudia, kuongoza ligi si kuchukua ubingwa. Its not done until its done!
Mkuu mwaka huu mbeleko hakuna na ikitokea point za mezani basi wewe utaathirika mno kuhusu Kessy na vibali vya MakochaUsijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
Umesema ukweli - karibuni sokoni. Twaja. Mnayama atakuwa feeder club.Juzi juzi hapa.. Tumepokea wahitimu waliofuzu vyema toka Simba B ambao wametoka kuchukua ubingwa wa kombe la U-20 kwa style.. Hii ni hazina kubwa sana kwa sasa na baadae. Yanga na Azam karibuni sokoni.