Hii ni utoto na unafanywa na watotoBro to bro usioneshe tabia ambazo ztawafanya watu wa jinsia yako waone wewe ni mtu wa opposite sex 😎
Wewe huyo kumbe ukituliza kicwa hua una akiliBro to bro
Hakikisha hulali na mke wa mtu, wala kuzoea nae kwa jambo lolote lile.
Kwa vijana tunaojitafuta, milele yote jiepushe na single mothers.
Hakikisha hukai mtaani kisa huna kazi unayoitaka, fanya kazi yoyote iliyo mbele yako huku ukipambania kazi unayoitaka.
Maisha ni complicated, ila jiepushe na pombe ya kupitiliza, ngono zembe, kubet kupitiliza na Mengine negative kwenye mwili wako, mana hii sio mbadala wa kujifariji.
Heshimu Kila mtu.
Usidanganyike na comment zangu za kuchangamsha genge, najitambua vzr mnoWewe huyo kumbe ukituliza kicwa hua una akili
Mpaka mbaga umeandika hiviBro to bro
Hakikisha hulali na mke wa mtu, wala kuzoea nae kwa jambo lolote lile.
Kwa vijana tunaojitafuta, milele yote jiepushe na single mothers.
Hakikisha hukai mtaani kisa huna kazi unayoitaka, fanya kazi yoyote iliyo mbele yako huku ukipambania kazi unayoitaka.
Maisha ni complicated, ila jiepushe na pombe ya kupitiliza, ngono zembe, kubet kupitiliza na Mengine negative kwenye mwili wako, mana hii sio mbadala wa kujifariji.
Heshimu Kila mtu.
Comment zangu za kuchangamsha genge zinawadanganya, mnadhani mm n fala 😂Mpaka mbaga umeandika hivi
Kweli hii ni bro to bro 🫡