Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu.
Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote?Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu.
Dawa inazunguka kwenye damu mheshimiwa, kile kijiti kina hormones ambazo zinazuia mimba. Zinaachiwa kidogo kidogo zitembee kwenye damu.
Niliona google wanaelezea natural contraceptive method kwa kutumia chai ya tangawizi. Je hii ina madhara yoyote ?
Please kama hujawa tayari kuzaa usijetumia hiyo chai ya tangawizi ikisha ukanyanduliwa utakuja kulia hapa JF.
Hapana ukweli kwenye hilo
Uongo wake uko wapi?? Ulijaribu ikafeli??
Weka tu mkuu kijiti au kigogo kabisaHivi kuna mahusiano gani ya hiki kijiti kuwekwa begani kinaenda kufunga kizazi mimba isitungwe.
Naombeni kufundishwa na Madoctor mlioko humu.