Kijana yeyote Tafakari chukua hatua

Kijana yeyote Tafakari chukua hatua

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
Kama kijana soma na naamini hili litamgusa mwana ccm yeyote.....
Wala siyo mwana ukawa na hata raia yeyote.....

Kwanza nianze kwa kusema kijana ndio msingi wa taifa la kesho
katika hali ya kawaida kijana ndio anapaswa kupanga kesho yake kwa hili na sisitiza tena kama ukiwa ni kijana wa tanzania ulifikiri mara mbili,

kwanza nianze kwa kusema vijana ninguvu kaxi ya taifa lakini vijana hawa hawaijui kesho yao....

Kwanini nasema vijana hawaijui kesho yao...........?

Leo ntayaweka mambo kadhaa kwanza ya kiuchumi

kimsingi vijana tunatakiwa tupange maisha yetu ya baadaye tunapaswa kujua nini hatma ya kesho yetu uchumi wa nchi tulionao ndani ya ccm na mfumo wake hauturuhusu sisi kupanga maisha ya baadaye

sasa kwanini nasema hivi .....?

Namaanisha gharama za maisha zipo juu haziendani na kipato akipatacho mtanzania halisi

ni hivi kama mtu analipwa shilingi laki tano
basi ujue take home atachukua shiling laki 3
kwa jinsi hii ukitoa gharama za usafiri, mavazi na pango ya nyumba kijana huyu hawezi kusave pesa kwa maisha yake ya baadaye....

Namaanisha kwamba kijana huyu hawezi fikiri kujenga wala kupanga maisha yake ya baadaye....
Kutokana na uchumi wa nchi kuwa mbovu na uliofamywa na ccm...

Wazazi wetu walijenga nyumba wa kasave pesa kutoka na uchumi wao kipindi cha nyuma kuwa vizuri....

Nilisikia kuwa watu wakisema sikuhizi vijana hawajishughulishi ...........?

Napinga na ninakataa na kusema hivi hakuna vipindi ambavyo vijana wanajishughulisha kama sasa hivi katika kazi mbalimbali

wanadiliki hadi kuuza makopo ili wapate riziki ....

Lakini kazi hizi zimekuwa hazina tija kutokana na kipato chao (income)
kuwa hakiendani na gharama za maisha,

narudia tena now hushangai kumuona kijana wa miaka 25- 30 yupo kwa baba na mama tena hawa future ya maisha yao..,
we unafikiri ni kutokana na nini ni ,

misingi mibovu waliyotujengea watawala ambao ni ccm .......

Kama kijana waleo tunatakiwa tupange kesho yetu na vizazi vyetu vijavyo sisi tunajukumu la kuvilinda vizazi hivi ...

Baba wa taifa kipindi hicho madini yaligunduliwa na mafuta na kila kitu kwa msisitizo akiamua kuacha akisema vizazi vijavyo vitatumia tujiulize..... Kwanini hawa watu hii mikataba ya gesi na mafuta wanaikimbiza kimbiza mbka rais kaipitisha kuna nini.....
Wakati...

Madini yanaisha....

Mafuta pia yanaisha

gesi nayo inaisha

ke vizazi vijavyo vitakuja kurithi nini ........? ????

Au labda tutawabakishia mashimo......
Tujiulize ,tutafakari,

hadi wewe unayetegemea vya urithi kumbuka vyako utachuma lini..........

Je uchumi wa nchi hii unakupa fursa....

Kama vijana tunapaswa kujiuliza maswali haya.na tuyapatie ufumbuzi bila hivyo tutaishia kuingia madeni kwenye mabank ili tuweze kuendesha maisha yetu

siwazingumzii hapa wana ccm wala ukawa wala nani bali nazungumzia mustakabari wa maisha yetu sisi kama vijana

maana sisi ndio tutakaokuja kuumia na tunaoendelea kuumia

naongea nikiwa na machungu makubwa zaidi na ninasema kama tutafanya makosa kuibakisha ccm hii madarakani tutaishia kufa maskini na vizazi vyetu vije kutulaani milele

kijana wa leo chukua hatua tusisubiri mtu aje ajengetanzania uetu ni sisi wenyewe na si watu wengine na nina furahi zaidi kwa sasa hadi wazee wetu nao wapo nyuma yetu

kataa ccm na mifumo yake haipangi kesho yetu sisi vijana

asante
 
Chagua sisiemu kwa ustawi wa taifa
cc atoto
 
Last edited by a moderator:
Hakuna chama kitakuletea pesa kijana!
Maisha ni kujipanga wewe kama wewe tu, hakuna awezaye kubeba mzigo wa mwingine hata kama atatoka chama gani elewa. Kila mmoja anajihangaikia kwa namna anavyoweza, wale uwaonao majukwaani wanazungumza na kudondosha machozi wana yao vichwani mwao, ni watafutaji kama wengine!
 
Umejitahidi kuchangia.... ila nadhani haujafikilia sana. Alichokiongelea mtoa mada ni kuhusiana na uchumi mmbovu ambao unafanya maisha yaendelee kuwa magumu, na si mwanasiasa au wanasiasa kutupa maisha mazuri bali ni kukuza uchumi ili kusaidia wananchi wote.
 
Afadhari mkuu kwa kumuelewesha huyu mdau.
 
Hakuna chama kitakuletea pesa kijana!
Maisha ni kujipanga wewe kama wewe tu, hakuna awezaye kubeba mzigo wa mwingine hata kama atatoka chama gani elewa. Kila mmoja anajihangaikia kwa namna anavyoweza, wale uwaonao majukwaani wanazungumza na kudondosha machozi wana yao vichwani mwao, ni watafutaji kama wengine!

Mkuu ni kweli hakuna Chama kitakachoweza kumletea mtu pesa,lkn mkuu ishu siyo hiyo,Ukweli ni kwamba sera za chama husika na uthubutu ktk kuwasaidia wananchi ndio msingi wa kuleta maendeleo kwa wananchi,hivyo Kinachotakiwa hapa ni ile dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko.
 
Back
Top Bottom