#Chinamade!Nchi ya China imekuwa mojawapo ya Nchi ambayo imejikita zaidi katika kujenga urafiki wa kibiashara na kiuchumi na Nchi nyingi za bara la Afrika mojawapo ikiwemo Nchi yangu madhubuti ya Tanzania,ambapo Nchi hiyo imekuwa ikijikita zaidi katika kuzalisha bidhaa zinazohitajika sokoni na wateja ambapo wateja wakubwa wa bidhaa za kichina ni watanzania hasahasa na mataifa mengine ya bara la Afrika ambayo yana ushirikiano na Nchi ya China;historia yangu itajikita zaidi katika sekta ya mawasiliano na upashanaji habari yaaani'ICT'hapa nchini Tanzania!tangu kukuwa kwa teknolojia ya habari nimeweza kufaidika na bidhaa za mawasiliano kama simu,computa mpakato!nk,ambapo nimeweza kumiliki simu aina mbalimbali kama TECNO,Htc,sumsung,Huawei kutoka China hiyo ni kutokana na kwamba Nchi ya China inazalisha bidhaa kutokana na mahitaji ya mteja pia kutokana na thamani ya shilingi mtumiaji wa bidhaa aliyonayo!nimekuwa nikitumia simu za kichina kujua bei za bidhaa sokoni,kujua bidhaa zilizoingizwa sokoni,kufanya masoko na mauzo kupitia njia ya mtandao ambapo imeweza kunipanulia wigo mpana wa kiakili na kibiashara kwa kujua mahitaji ya wateja sokoni kutokana na biashara ya bidhaa za nguo ninayofanya!sio hivyo tu simu toka china zimeweza kuwafikia mpaka watu waishio pembezoni mwa miji ya Tanzania yaani sehemu za vijijini kwa maana nao wameweza kuwa na uwezo wa kumiliki simu ambazo zimeweza kuwasaidia katika nyanja mbalimbali za kimawasiliano na kibiashara kama kutafuta masoko ya mazao ya kilimo wanayozalisha mashambani kupitia njia ya mtandao yaani internet hivyo kuongeza idadi ya wateja;naisifu Nchi ya china katika sekta ya mawasiliano kwa maana imekuwa ikiangalia soko la afrika linataka nini na thamani ya shilingi kwa soko la Afrika hivyo kuzalisha bidhaa kutokana na kipato cha watu kuanzia wenye kipato cha juu,kati na cha chini,hivyo ubora wa bidhaa kuendana na thamani ya pesa yako;kwa hali hiyo Nchi ya China imeteka soko kubwa ulimwenguni kwa kuanzia na bara la Afrika kutokana na bidhaa inazozalisha kwa kuangalia uhitaji wa wateja sokoni,na thamani ya ubora wa bidhaa kwa thamani yashilingi husika;kwa kumalizia naipa heko Serikali ya china kwa kuendelea kudumisha urafiki wake na bara la Afrika ikiwemo Nchi yangu Tanzania kwa sekta ya kibiashara na viwanda kupitia uwekezaji;nimenufaika,tumenufaika ba bidhaa za China kupitia kuzifanyia biashara kama vile simu,nguo mbalimbali toka China,hali iliyopelekea maisha yote kuboreka kiuchumi na kuwa na marafiki wa kibiashara yaani wabia toka Nchi ya China;hakika China umekuwa mkombozi wa wanyonge wenye kipato cha chini kabisa kwa maana wanaweza pata bidhaa kutokana na thamani ya shilingi waliyonayo;asante China heko kwako na urafiki wetu udumu milele!viva China made'0757524428.