Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
Ndugu habari za usiku! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kijana wa kiume ambaye atakuwa anawahudumia kuku wa mayai.malazi kwangu na chakula,mshahara utaongezeka pindi kuku watakapoanza uzalishaji yani kutaga mayai, kijana awe muanifu na mwenye uzoefu kidogo katika maswala ya ufugaji.
Aliye tayari au mwenye kijana au ndugu yake ambaye hana kazi ani PM tujadili zaidi.eneo la kazi ni mkoa mpya wa songwe.
Ahsanteni sana
MwanaumeSamahani wewe ni Ke au Me ukinijibu nitakuja baadae
Mwanaume
Wote wameajiriwa!Kwenye Familia Yenu Wote wameajiriwa au hakuna anayehitaji kusaidiwa? Kama wapo kwa nini Usimchukuwe mmoja wapo na ukampa Good Counselling na kumlipa hicho kiwango ambacho kitakuwa kwa ufanisi ili badae ajitegemee..
Wote wameajiriwa!
Dah...sina cha kuongezeaOk Subiri wenye Vijana watakuja..Na hongera kwa Ukoo wenu wote kwa kuwa na Ajira.
Ahsante mkuuOk Subiri wenye Vijana watakuja..Na hongera kwa Ukoo wenu wote kwa kuwa na Ajira.
Hahahahaha, "Jaza Ujazwe" yaani mshikaji umempa ushauri mzuri wa kiuchumi yy anakuletea comedyOk Subiri wenye Vijana watakuja..Na hongera kwa Ukoo wenu wote kwa kuwa na Ajira.
Daah, anko umeongea kitu cha maana sana, inaonekana dhahiri huyo kijana atakaepatikana ataumia sana ndo maana hataki kuwapa ndugu zake hiyo fursa.Kwenye Familia Yenu Wote wameajiriwa au hakuna anayehitaji kusaidiwa? Kama wapo kwa nini Usimchukuwe mmoja wapo na ukampa Good Counselling na kumlipa hicho kiwango ambacho kitakuwa kwa ufanisi ili badae ajitegemee..
Daah, anko umeongea kitu cha maana sana, inaonekana dhahiri huyo kijana atakaepatikana ataumia sana ndo maana hataki kuwapa ndugu zake hiyo fursa.
Kama kweli yuko serious awatafute livestock officer waliosoma animal health ngazi ya cheti mfanye kazi.
Itabidi afanye ivo kama ana nia chanya.Mkuu hakuna Ukoo usiokuwa na extended Family hakuna hata kama close family ambao kwa namna moja au nyingine hawana hata kitu cha kujishughulisha sasa kuhitaji mtu nje wakati kuna watu wa karibu .
Nimejifunza kusaidia ndugu wa karibu kabla ya kwenda mbali maadamu yupo tayari kulipa vizuri I think charity should begin at home kwa kurudisha kipato hicho nyumbani.
Wabongo bana mtu ametoa fursa hiyo kama unakijana muunganishe,tunaanza ooh angalia kwenye ukoo wako sijui nini,
Una kijana mpeleke akiona kazi ngumu atasema, huna pita kimyakmiya sio kuwavunja watu mioyo kua ndugu yao atateseka sio poa.
Kweli kabisa mkuu, kama ni fursa hata ndugu zake ni wabongo na wanahitaji hiyo fursa. Labda kama anakusudia kuongeza ukoo kupitia huyo kijana.Wabongo bana mtu ametoa fursa hiyo kama unakijana muunganishe,tunaanza ooh angalia kwenye ukoo wako sijui nini,
Una kijana mpeleke akiona kazi ngumu atasema, huna pita kimyakmiya sio kuwavunja watu mioyo kua ndugu yao atateseka sio poa.
Kwahiyo kwenye ukoo wenu hakuna vilaza right??Wote wameajiriwa!
Huna extended family... Nyie ndio wale watu wasiopenda kusaidia ndugu zenuWote wameajiriwa!