Kijana wa kazi Arusha

Kijana wa kazi Arusha

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
239
Reaction score
238
Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yupo tu nyumbani hasomi kwa sababu kaka yake nimetingwa kidogo nikashindwa kumuendeleza. Kama unaitaji kijana wa kazi uniambie ikiwa Arusha itakuwa poa sana ni mwaminifu na ana heshima kwa kila mtu. Anaweza kufanya kazi ya kuuza bidhaa na ana uzoefu wa hiyo kazi kwani alikuwa anakaa dukani kwangu biashara ikaja kuwa mbaya nikafunga. Ila hata kazi nyingine yoyote tu ni poa ila sio za ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPELEKE SHAMBANI AU FUGA HATA KUKU.TUSIWE WAVIVU WAKUFIKIRI .AKIENDA KUFANYA KAZI ZA MJINI ATAISHIA KUTAZAMA TV SIKU NZIMA NA SINEMA ZETU
 
Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yupo tu nyumbani hasomi kwa sababu kaka yake nimetingwa kidogo nikashindwa kumuendeleza. Kama unaitaji kijana wa kazi uniambie ikiwa Arusha itakuwa poa sana ni mwaminifu na ana heshima kwa kila mtu. Anaweza kufanya kazi ya kuuza bidhaa na ana uzoefu wa hiyo kazi kwani alikuwa anakaa dukani kwangu biashara ikaja kuwa mbaya nikafunga. Ila hata kazi nyingine yoyote tu ni poa ila sio za ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
arusha sehemu gani mkuu mwambie aende sunflag au AtoZ kisongo asubuhi sana awezi kukosa kibarua pale
 
Asante kwa ushauri ila kazi za kiwandani na umri alio nao hapana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Bruno acha kumlea kihivyo dogo. Miaka 19 sio midogo unavyowaza. Acha kumkumbatia utamuharibu dogo. Muache aende akafanye kazi na wenzake viwandani. Wapo wengi sana wa umri huo au pungufu yake. Muache ajifunze kujitegemea mkuu, kuna leo na kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom