Kijana wa chuo usipoelewa basi tena

Kijana wa chuo usipoelewa basi tena

Wild sniper

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
4,426
Reaction score
8,726
Kama wewe ni Kijana mwenye umri kuanzia miaka 21 hii ndio post yako bora ya mwaka 2019 ,yakupasa uisome na kuitafakari vyema sana.

Kwa mujibu wa mtandao wa www.biblemoneymatters.com umeonyesha kuwa kuna misitari 2000 ya neno pesa kwenye Biblia takatifu .

Kisha mtandao wa www.tcu.go.tz unaonyesha orodha ya vyuo vikuu 58 ambavyo ni approved University Institution kuanzia February 2019.

Yatupasa tuthamini vitu Vikubwa Vitatu Muda + pesa na Afya kwa akili kubwa na utulivu mkubwa sana .Kila kitu kinahitaji pesa na pesa ni kila kitu ila pesa haiwezi kukupa kila kitu.

Linapokuja suala la pesa na muda ,thamini sana muda sababu unaweza kupoteza pesa na ukaipata pesa uliyoipoteza ,lakini ukipoteza muda huwezi rejesha muda uliopoteza .

Kama wewe ni mwanaume na unasoma chuo na upo kwenye mahusiano ,basi pesa pekee ambayo mpenzi wako unaweza kumpatia basi ni pesa ya sanitary napkin +sanitary towel +Sanitary pads ambayo ni Tsh 3000/=.

Unawezaje mpa pesa mpenzi wako mwenye wazazi wote wawili na anayepewa pesa ya mkopo? Ndoa bora hujengwa kwenye misingi ya Umoja na ushirika wa watu wawili chini ya kitovu cha uaminifu.

Unatakiwa kumpenda mwanamke bila kumchunguza na ukimchungunza huwezi mpenda ,maumivu ya mapenzi huwa makubwa ukisalitiwa ukiwa umetumia pesa nyingi ,yakupasa upendwe bila kuomba kupendwa.

Kuna Kijana anayefanya kazi ya kunyoosha shati moja kwa Tsh 500 katika soko la Sido mkoani Mbeya.Humchukua zaidi ya siku nzima kupata kupata Tsh 10,000/= kwa kunyoosha idadi ya mashati 20 .

Pesa hii anaitunza na kuizalisha kwa muda wa siku 30 na kufikisha kiasi cha Tsh 300,000/= Huyu ameikimbia anasa ameamua kuwa mjinga ili awe mwerevu,kwa kufuata msemo wa Hana na haba hujaza kibaba.

Benjamin Franklin , alipata kusema,”A penny saved is a penny earned.” Huu ni msemo mkubwa sana na wenye maana kubwa sana .

Sasa jiulize ikiwa wewe Intellectual ,huwezi kuwa na akiba ya pesa ila unaweza kuwa na pesa ya kumfanyia Birthday mpenzi wako mwenye mkopo sawa na wewe na mwenye wazazi kama wewe na yeye ni Intellectual,huoni ni dhambi ya fikira unayoifanya kwenye madhabahu ya fikira[Chuo Kiuu] ?

KijanaEconomics,kama Daladala linatumia watu 50 kwa nauli ya Tsh 400/=kufikisha kiasi cha 20,000/= iweje wewe utumie Tsh 300,000/= kwa mwanamke msomi anayepokea pesaya HESLB na ana a wazazi wake ?

Kwa idadi ya vyuo vikuu 58 inamaanisha miaka mitano ijayo kutakuwa na wasomi wengi sana ambao hawana ajira ,ni wakati wa kutumia msemo wa Benjamin Franklin ,”A penny Saved is A penny earned,” umalizapo chuo uwe na akiba ambayo itaendeleza biashara yako.

Swali kwa sasa unasoma chuo ,je una wazo la biashara? Umeandika mpango mkakati wa biashara?Pesa ndogo huleta pesa kubwa na Ndio maana mwanzilishi wa company ya Dell computer Michael Dell alianzisha company kwa mtaji wa $ 1000 hii ni sawa na Tsh 2,302.38.

Leo hii company ya Dell ina utajiri wa kiasi cha $ 78.70 Billion kwa mbegu ya $1000.Kama unaweza kumiliki simu ya $400 basi hakikisha ukimaliza chuo una mtaji wa kuendeleza biashara yako,kuiboresha software yako au kuongezea pesa yako kuimarisha consultancy yako.

Vyuoni ndio sehemu yenye mapenzi ya uongo kwa hiyo hakikisha unaitunza pesa yako kwa akili kubwa sana na penzi lako litunze kwa Elimu kubwa sana .

Usitumie pesa kabla ya kuipata na usitumie pesa kwenye vitu usivyovitaka .Mpenzi wangu wa chuo ni takribani miaka 12 sijui aliko na wala sijui aliolewa na nani ,niliwekeza pesa ambayo najuta leo.

Chuoni nilikuwa na muda lakini sikuwa na pesa ;Kisha kwenye ajira nikawa na pesa lakini sikuwa na muda mwisho nikawa na pesa lakini sikuwa na afya ya kutumia utajiri wangu.

Soma maana nyuma ya maandishi utaelewa jambo Dogo na zuri.
Credit Asiejulikana.
 
Mkuu,

Sio lazima watu wote wafanye biashara. Sasa sote tukifanya biashara nani atakuwa mteja wa mwingine?

Ukifanya wewe na baadhi mnatosha.

Halafu wewe umeshamfikia huyo Michael Dell, au ndio as the saying goes: easier said than done?
 
Best post of the day
 
Yes mkuu sio wote lazima tufanye biashara lakini tunaweza kusave pesa na kuwekeza tukaacha na hizi bla bla za ajira.
 
. Asante sana kwa hii tunaweza kuita #Jitambue Tips.... Short and clear piece of info
 
Mkuu,

Sio lazima watu wote wafanye biashara. Sasa sote tukifanya biashara nani atakuwa mteja wa mwingine?

Ukifanya wewe na baadhi mnatosha.

Halafu wewe umeshamfikia huyo Michael Dell, au ndio as the saying goes: easier said than done?

Aisee baada ya kustaafu kila mtu anageuka mfanyabiashara unless afya hairuhusu embu fanya kautafiti, so i think its better kuanza mapema tu
 
Mkuu,

Sio lazima watu wote wafanye biashara. Sasa sote tukifanya biashara nani atakuwa mteja wa mwingine?

Ukifanya wewe na baadhi mnatosha.

Halafu wewe umeshamfikia huyo Michael Dell, au ndio as the saying goes: easier said than done?
Hata kama sote tutafanya biashara ni sawa maana hatuwezi sote kuuza kitu kimoja wewe utauza chakula na mimi ntauza vinywaji au ntauza magari wewe utauza spare za magari hivyo kila mtu atakuwa mteja kwa mwenzake na mfanyabiashara kwa upande mwingine
 
Back
Top Bottom