Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,152
- 43,111
Kama bado una pambana ili kumlidhisha mwanamke naomba nikukumbushe kuwa Kuna harmonize Ali honga Range kajala one and two bado haikutosha ku mridhisha mwanamke
Haji Manara ame mpeleka Zay Lissa adi Marekani na Dubai kamtafutia ma dill kibao akawa ana mfungulia adi milango ya gari lakini wapi bado haja tosheleza ku mlidhisha mwanamke
Sembuse wewe kingwendu Yani umlizishe mwanamke uyu uyu ambae akiumbwa mweusi ana jichubua awe mweupe
Hata akiwa mweupe bado anajichubua awe mweupe zaidi ameumbwa na nywele bado haliziki nazo ana vaa ma weaving tena kila baada ya wiki ana badilisha
Umlizishe mwanamke uyu ambae ata mungu mwenywe hajatosha ku mlidhisha ana muumba Hana Tako anaenda kufanya surgery aongeze maumbile na aki nenepa ana kata utumbo ili awe mwembamba😂😂😂
mwanaume mpumbavu TU ndo apambane ili ku mlidhisha mwanamke wakati mwanamke akikupenda ata lidhika na kila kitu chako!