Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kwani dunia ni yetu? Kuna chochote utazikwa nacho?
Life is too short acha tule bata tu
Naona tumeanza kupangiana jinsi ya kuishi.
Walimwengu bana[emoji3][emoji3]
Maisha ya ghali ni yapi?
We endelea kujibana kama unafurahia kujibana,sisi ambao hatujibani tutaendelea hivyo hivyo tukiishiwa tunatulia tu.
Mafanikio siyo kitu unachokipata kwa bahati.
Unahitaji kufanya kazi kwa bidii na kujitoa muhanga.Kila mtu anataka kufanikiwa lakini wangapi wapo Tayari kutia bidii ,Muda kujinyima na kujiandaa ili kushinda.?
Tunahitaji kujitoa sadaka na nidhamu binafsi.Hakuna mbadala wa kufanya kazi kwa bidii.
Things may come to those who wait,but only the things left by those who hustle
Abraham Lincoln