Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Hapo tu kwenye Ex ndipo uliponikosha wacha nipambane.Vijana wenzangu Maisha ni Kupambana, pambana kijana Mpaka Siku Moja Ex wako aje akwambie:
"hebu waambie Kama ulishawahi kudate na mimi Maana nawaambia Wala hawaniamini"
Sasa wewe kaa unakula kulala utajua nn maana ya maisha ukisha zeeka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Usipende kushindana na mtu ambaye hayupo kwenye maisha yakokweli ..hakika mkuu ""
Hahahahhahaha kwahyo asira imekupanda mkuuu hahahahhHapo tu kwenye Ex ndipo uliponikosha wacha nipambane.
Hahahahaha acha tupambane bana acha kutuvunja moyo[emoji15] [emoji15] [emoji15] Usipende kushindana na mtu ambaye hayupo kwenye maisha yako
Umeona eehkweli ..hakika mkuu ""
Hahahahah yalikukuta nn mkuuuhapo kwa ex wako kuna mengi yatasemwa, wengine siku ukitoboa utawasikia "nyooo anajifanya ana viela saiv wakat kitandani alikuwa mchovu tu nyooo, na isitoshe ana kibamia"
nyie wanawake nyie, Mungu anawaona mjue
Sawa mjuu wa chifuAsante kwa taarifa
Hapana nimependa tu hapoHahahahhahaha kwahyo asira imekupanda mkuuu hahahahh
hapo kwa ex wako kuna mengi yatasemwa, wengine siku ukitoboa utawasikia "nyooo anajifanya ana viela saiv wakat kitandani alikuwa mchovu tu nyooo, na isitoshe ana kibamia"
nyie wanawake nyie, Mungu anawaona mjue
maumivu na majuto yamepangwa kuwepo kwaajili yakusudio la kumkubusha victim aweze kuitambua value yake "" ili apate kujisahihisha na kuzipigania ndoto zake " zilizokufa ama alizokuwa anaziota" "[emoji15] [emoji15] [emoji15] Usipende kushindana na mtu ambaye hayupo kwenye maisha yako
naam..nimeipata imepenya kwenye medulaUmeona eeh