Hivi huwa mnaona fasheni au?Mi haijawahi kunitokea hii na wala sitegemei,rudini kwenu shamba mnang'ang'ania huko mjini kugombania kodi za majumba ya urithi wakati huku mashamba kibao mi ni mkulima mzuri sana huku udongo tuu hayo mavyuma yenu sijui marobot ndio yanawakaza mtazaa nayo.