Kijana mwenzangu epuka kufuliwa nguo na kupikiwa chakula na mwanamke

SIKIA machizi wangu Dawa ni kuoa kwa kikwete tu!! yule jamaa ana roho nzuri sana na Binti zake hivohivo!! kwanza status kubwa!! jitahidi upange huko kwa watu kama hawa!!! hata wahindi, waarabu, kina Mengi hao!!

Mabinti zao hawa wakikuroga mbona swafi tuu!!! tena unaweza shawishi waroge ukoo wako mzima!! siyo upange uswahilini???? au nyumbani kwa jiwe utaumia!! kwa ukauzu wake jiwe lingekupigisha hata deki!! sasa jifanye kutoroka uone mchezo!!....

sasa uswahilini huko utaishi kimagutu-gutu mpaka lini??? watakupata tu we subiri unajifanya mjanja?? ,,,,,, na kwa vile ulisha kuwa mgumu, mjanja mjanja!!! siku ya kukupata!!! nasema huchomoki! ndo kwaanza utafua na nguo zao!!

Hasa ukiwa mpole, mstaarabu usiye kuwa na makuu, huruma, mchakarikaji, msomi, siyo mtu wa totoz!! huna magonjwa ya kudumu kama kifafa!! na maza kakutembelea kidogo wakajua mpaka familia yako weee!! mdini!! dini hivi Mama weeee!!!!

chapaa kidogo ipo!! haikupigi chenga achilia mbali kigari cha mawazo!! nakwambia wakikuacha salama hapa wenye nyumba eti uende salama unako enda watakuwa mahanithi wa kike labda!!! ikiwa hivi mshukuru sana Mungu wako!!

Kila Mtu hapa Duniani anapenda mtu wa sifa za hivi!! yaani usishangae hata Baba house akakutongoza uoe mwane Bure!!! na kodi usilipe umekuwa mwana wa nyumbani!!!

ke sikuzote wao wanajiuliza mbona haka ka jamaa kagumu hatukapati??? why? kana nini kwani?? basi wataenda kutafuta waganga wa kwenu huko kijijini sumbawanga kwa gharama yeyote bila wewe kujua ndo utakapo anza kurogewa huko!!

Ukiweza kabisa Nenda mbele huko ishi Poland, Australia, Japani huko!!! mtakuwa salama huko hawa wazungu hata wakikufanyia Limbwata shega tuu !!! na walivo na maisha Bomba utaomba wakufanyie Limbwata mwenyewe tena na tena!!!!

Unaogopa Limbwata wakati unakaa mbagala??? sijui kipawa humo?? Gongo la mboto mnakunywa maji ya visima??? jinga kabisa!!! wallahi!!! ukikaa, Mbezi Beach ya chini, City centre , Upanga, Oyster bay, hata kariakoo tu

kamwe huko au kule huogopi limbwata!!! na hukosi mIchongo ya maana..... achilia mbali Downing street ninapo kaa mie leo!!! na niliunganishwa na demu wangu Mtamu wa Oyster bay hapo Bongo!!! ila ana jamaa yake!!!
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then sitakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
We mtoa mada feki kweli wewe mwenyewe mchawi tuliza boli
 
Unapewa vp chakula na mtu usie mpenda aisee na ananza vp kukufulia na ilikuaje mpaka awe naazoea ya kukupikia au kukufanyia mambo yako yani inakueje hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanachojali ni nyege zao, hawajali dyudyu inaingia wapi, hata kwa mwanamke mshirikina, jini, chizi, mwenye ngoma...wataingiza tu ili mradi wanakojoa.
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
Sasa ww unaharibu ma'deal' ya watu humu! Umewashtulia mawindo yao wakati wameshalenga shabaha!
 
We mtoa mada feki kweli wewe mwenyewe mchawi tuliza boli
Heee!! upo Baby za masiku???
habari za Arusha kwanza!! nimekukumbuka sana Baby!!! yaani mie ukinifanyia nakula tu sweety usijali !! achana na mambo ya watu!! kwanza mpaka nimekupa neno langu si nimekupenda Baby ati??

Embu fikiria mwenyewe nitatongozaje mdada nisiye mpenda kwanza, eti hana mvuto kwangu Mwee? tuanzie hapo??? mpaka nimezungumza nae ina maana niko tayari kumlinda asichakazwe na wapita njia!!! pia

kuna kitu kimenivuta kwake mda mrefu so ke huyu ukipata mimba ni sawa!! ukifa ntazika! ukiugua ntauguza, ukilia ntalia, ukitaka ntakupa, ukila nimekula ukitembea naimba....hata akiniacha nitaendelea kumpenda tu!! potelea kwa mbali moyo uridhike !!

sasa km me hana haya yooote!! alimtongoza wa nini?? nini alicho kitamani kwa binti??? hivi kuna wanaume wanakula tu bila kupenda hivi kweli!!! huyu me ni kweli anatafuta kurogwa mwenyewe!! warogeni tu wakome.....

kama ana shida ya kupata kidude cha kuchezea si aende kwa ma CD tu, wahaya palee Temeke kwa Masangati wapo kweupeee akafanye tani yake kama anataka zile za ghafla!!

Akamwage oil kila siku kwa mtoto wa Mtu anamchakaza bure Kisa?? mnastahili kurogwa .....nani akaoe vilivyo chafuliwa na jitu lenye ugwadu?? hivi hawa wadada wazuri!!! wazuri mnawaonaje kwanza? kuwapanuapanua bila staha?? hujui atazaa Rais wako huyo???

Muwanyimeni watu wa hivi wakabake mbuzi waponee segerea!!
 
Mama Mwenye Nyumba Na Watoto Wake Hapa Ninapokaa Wanapenda Kunipakulia Chakula Ila Silagi Naweka Uvunguni Then Kesho Nakimwaga,unajua Kwanini Nakimwaga Kwasababu Sijampa Hela Ya Msosi Halafu Yeye Awe Ananipakulia Tu Bure Bure Tena Kila Siku Hata Nikirudi Usiku Wa Manane Ananisubiri Sasa Nimeshawashtukia Mama Na Watoto Wake
Mimi ningekuwa nakiombea then nakula.
 
Siku hizi hawahitaji chakula wala nguo zako

Unachomewa chumvi ti kwishnehi.....utamtafuta na kumuhonga mpaka nyumba ya urithi

Au utachomewa nywele za mahindi

Kama sio kifuu

Ukikaa vibaya sindano ya kushonea itahusika

Kiufupi mmekwisha
Hebu fafanua Mkuu, inakuwaje hiyo??.
 
Wanaume wanachojali ni nyege zao, hawajali dyudyu inaingia wapi, hata kwa mwanamke mshirikina, jini, chizi, mwenye ngoma...wataingiza tu ili mradi wanakojoa.
Umesahau mbuzi, punda waliokatwa miguu!! Bata, kuku, !! n'gombe, mbwa ilimradi lipenye!! hawajali ubora wa watoto wa kike!!! fikiria huyu mtoto wa kike!! ana Baba mama mwenye uchungu pia!! na hiki kidume kinacho fanya haya kitazaa pia mtoto wakike afanyiwe hivi atajisikiaje kama Baba?????

sometimes ni vyema kujua History back ground ya mleta mada!! huenda kapatikana kwa njia km hizi, dhambi ile inamtafuna!!
 
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana inawezekana mdada hujampenda ila akakupa chakula alichokiandaa ukala imekula kwako kabisa.

Utaanza kudate nae bila kujua kakutilia makolokocho then atakuendesha sana kwenye mapenzi.

Mwenzenu kuna kitu nimejifunza wanawake wengi ni washirikina sana wakikutaka hawakukosi na usipokua makini utakoma.
alikupa limbwata nini?
 
Sasa kama anakuroga umpende zaidi si ndio vizuri boss wangu, angekua anakuroga ili umchukie hapo ushauri wako ungeMake sense.
Tatizo anakuloga ili akili yako iwe kama kondoo na kwrli tumeyashuhudia anas za kufanya yafuatayo:-

1. Anakumiliki kiuchumi, ukipata fedha yoyote lazima upeleke kwake

2. Atakuona kuwa wewe ujui kutafuta au kutumia ataanzisha yale ma biashara ya kikekike yasiyokuwa na mafanikio, kukopesha navitenge, madera saluni za kike na vikoba

3. Ataanzisha miradi ya ujenzi kwa siri ama kwao ama mjini tena kwa pupa bila hesabu

4. Ndugu zako wstachukiwa kama choo na atakutenganisha na ndugu zako hawatakanyaga kwako kamwe ila kwako watajaa ndugu zake na waziri mkuu wake atakuwa mama yake mzazi

5. Atakupiga limwata la khanga ambalo hata ukisafiri unakwenda na Khanga yake uitumie kujifunga wakati wa kuoga eti uisikie harufu yake usitamani mwanamke meingine

6. Ukianza kuchoka utatelekezwa watoto wote watakuwa wa ujombani upande wa mama na hata dini watafuata ya mama yao
 
Vijana wa siku hizi aise waoga sana utafikiri sio wanaume
Mimi binafsi ni mvivu kufua kwahiyo enzi zangu nilikuwa nabeba mlupo nauleta geto kwa ajili ya kulala nao mpaka day B usiku natoa nguo anapasi then asubuhi namlundikia nguo anafua ikifika mchana napiga mambo yangu then namsindikiza na mabusu kibao na mshiko wa maana
Akishoboka kuja kuja geto anakuta mwenzie nae anafua (Bamiti....!!!! ) mwenyewe anasusa maisha yanaendelea
Sasa we mtoto wa kiume unafua manguo kisa nini?????
Acheni uchoyo vijana wapeni kazi hizo wazifanye wanawake zenu haaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom