Kijana mwenye degree ya kwanza ya marketing kutoka UDOM anatafuta kazi

Aliyesema hivyo sio yeye,ni mimi ninaye mjua.
"He is a very intelligent and well focused young man"
Naona UDOM mnachakachua degree haswaa......kwa kipimo kipi unajiita "very intelligent" utakaa sana mtaani kama haya ndiyo mawazo yako!
 
Umesikia hapa JF ndio ajira zinapatikana..Tuma resume zako sehemu zinazohusika.
 
Aliyesema hivyo sio yeye,ni mimi ninaye mjua.

Hapa kuna tatizo mkuu.Kama hata kuingia JF yeye mwenyewe hawezi mh! i suspect he's computer illiterate na siyo mtu wa kujishughulisha kutafuta info.Ikiwa ni hivyo kazi unayo mkuu!!
 
Swala ni kuweka C.V mezani ionekane kuwa serius what u wrote is too short haivutii kwa mtu anaeitaji kuajiri weka mambo haya SEX, GPA, Div vi and iv. tumia lugha moja kwa ufasaha zaidi kama kiingereza ama kiswahili then u ll c the outcome kumbuka kuna wengi sana pia wanatfuta ajira kama wewe onyesha utofauti. Ushauri kwako tembelea pia zoomtanzania.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom