Kijana mmoja achomwa moto Tegeta

Kijana mmoja achomwa moto Tegeta

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
Kijana mmoja mwizi wa Boda boda amechomwa moto leo maeneo ya Tegeta baada ya kukamatwa akitaka kuiba Pikipiki (Boda boda) akiwa na wenzake wawili lakini wenzake walifanikiwa kukimbia.

Source: Habari za Saa na Vumilia Mwasha ITV Saa saba
 
unamchoma moto alitaka kuiba bodaboda lakini hatuwachomi moto waliokamatwa na meno ya tembo kontena nzma je hii ni haki tuanze kudili na papa sio vidagaa
 
Utii wa sheria kwa wananchi unapungua kadri siku zinavyokwenda na hii inatoa picha kamili kwamba wananchi wamechoka na matukio haya,Polisi mkikamata mwizi basi sheria ichukue mkondo wake na kesi iendeshwe mapema na iishe sio mtu kaiba kuku anakaa mahabusu mwaka na siku ya hukumu anahukumiwa miezi mitatu.
 
Mafisadi kila siku tunapishana nao tu barabarai.kwanini tusichome nyangumi moja ili tuheshimiae na tujue kuwa wananchi wanahasila kweli!
 
Utii wa sheria kwa wananchi unapungua kadri siku zinavyokwenda na hii inatoa picha kamili kwamba wananchi wamechoka na matukio haya,Polisi mkikamata mwizi basi sheria ichukue mkondo wake na kesi iendeshwe mapema na iishe sio mtu kaiba kuku anakaa mahabusu mwaka na siku ya hukumu anahukumiwa miezi mitatu.
kiongozi tatizo wakati mwingine ni sisi waungwana!!!hatutoi ushirikiano huko police,tunamkamata kibaka akishatiwa ndani na police hatutokei tena kutoa ushahidi au ushirikiano unaohitajika na police!!matokeo yake police wanakosa base za kumtia ndani mtuhumiwa,wanamwacha huru!!!!
 
Kwa nini haya, Maisha magumu au CCm imetufunza kuiba na kuuana
 
Kijana mmoja mwizi wa Boda boda amechomwa moto leo maeneo ya Tegeta baada ya kukamatwa akitaka kuiba Pikipiki (Boda boda) akiwa na wenzake wawili lakini wenzake walifanikiwa kukimbia.

Source: Habari za Saa na Vumilia Mwasha ITV Saa saba
ITV fulu of wachaga dadadadeki
 
Siku za mwisho Upendo wa Wengi utapoa
 
kiongozi tatizo wakati mwingine ni sisi waungwana!!!hatutoi ushirikiano huko police,tunamkamata kibaka akishatiwa ndani na police hatutokei tena kutoa ushahidi au ushirikiano unaohitajika na police!!matokeo yake police wanakosa base za kumtia ndani mtuhumiwa,wanamwacha huru!!!!
Polisi wanatakiwa kuharakisha ushahidi,haiwezekani mwananchi wa kawaida ahangaike kila siku kwenda polisi na mahakamani kutoa ushahidi,bado jeshi la Polisi linatakiwa kujipanga na kufanya kazi zake kwa uhakika kwani wenzetu wanaweza sisi inashindikana nini?
 
Back
Top Bottom