Kijana Hamisi wa BSS nani anamjua

Kijana Hamisi wa BSS nani anamjua

Elementi

Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
60
Reaction score
157
Habari wakuu,

Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo.

Naombeni msaada kwa anayejua mawasiliano yake au anayeweza kunifikisha mahali anapoishi, au hata kunielekeza mahali anapopatikana. Boss wangu anataka tumfanyie mahojiano Hamisi ili watanzania waweze kujua maisha ya Hamisi kiundani zaidi.

Screenshot_20191117-151354_1573999973757.jpeg
 
Majaji wanaamua kwa hisia na mkumbo, sometimes wananikera kutokuwa consistent,
 
Habari wakuu,

Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo.

Naombeni msaada kwa anayejua mawasiliano yake au anayeweza kunifikisha mahali anapoishi, au hata kunielekeza mahali anapopatikana. Boss wangu anataka tumfanyie mahojiano Hamisi ili watanzania waweze kujua maisha ya Hamisi kiundani zaidi.

View attachment 1265602
Kama walitumia performance ya jana as a basis hapana shaka kwamba Khamis hakufanya vizuri sana kama siku za nyuma, lakini ingekuwa kheri zaidi kama Majaji wangeruhusu kipaji chake kuendelea kupigwa msasa.
 
Back
Top Bottom