masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,835
- 14,996
Hope alimtia posho..
Amesajili pikipiki yake!hiyo plate namba amelipia ?🐒🤣
Zaidi ya kujitahidi.hiyo plate namba amelipia ?🐒🤣
Aruu!hiyo baiskeli kwenye hiyo down ya nyololo anakuwa amekalia nini maana sioni siti hapo.....awe makini na bikra..
Nimechukua address yake ya nyumbani.Eti unaulizwa ulichangia changia kukuza kipaji na za picha au ulipita kavu
Iringa vinaitwa VIGELETI..kikikuangusha tegemea kulala bed mwezi 1 hayo mambao yakifumuka kwenye mseleleko .utaimba haleluya...tumeendesha mno enzi hizoView attachment 1764804View attachment 1764805View attachment 1764810
Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.
KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA
Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!
Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
Hizo story mkuu...ukifa au akifa...we changia pale pale..tuma na yakutoleaNimechukua address yake ya nyumbani.
Akikua nitamwajiri!
Sijasoma mlimani ila mainjinia pale mlimani na sua kwenye practical veta wanawanyoosha.Zaidi ya kujitahidi.
Hata mainjinia wa pale Mlimani hawawezi hii!