Kuoa ni swala la ibada and commitment
Hapa Mtandaoni atapata Muongozo Ila ushauri mzuri anabidi kuiandaa akili yake kuishi na MTU to his lifetime.
So akae aisikilize inner voice yake inasemaje .
Akiona kuna Green light aoe tu .
Then mwambie mambo mengi anayoyaona ni mazuri iwe mke, vitu n.k ni kwasababu yupo mbali navyo, hivyo asiache kutengeneza distance (umbali) katika mambo yake .
Tofauti na hapo atamchoka mke wake mapema .