Kijana anatafuta kazi, yupo Dar

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,907
1,649
Yupo dar anaishi uwanja wa ndege ana ujuzi wa kupika chips,kushona nakujenga namba yake ni0656182659
 
Uko tayari kumdhamini? Wanatakiwa wadhamini wa5 wanaofanya kazi serikalini, na wawili wengine ambao lazima wawe ndugu zake
 
mkimuelekeza atajua ana kichwa chepesi sana na ana displini ya hali ya juu

Teh teh teh unanikumbusha yule jamaa alienda kuomba kazi, akaulizwa unaweza kutumia computer, jamaa kajibu "naweza". Akaulizwa microsoft unajua? Kajibu "mkinielekeza iko mtaa gani siwezi kupotea"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom