Kijana Anaswa Akimnajisi Bata Chumbani!

Kijana Anaswa Akimnajisi Bata Chumbani!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Kijana huyo anaitwa Amosi, na tukio hilo la aina yake limetokea Ushirombo huko geita baada ya mmiliki wa bata huyo kumnasa kijana huyo akimnajisi bata huyo chumbani kwake.

Mmiliki wa bata kasema bata wake kaharibiwa sehemu zake za uzazi na tiyari kijana huyo kafikishwa polisi kuchukuliwa hatua za kisheria.



Chanzo : Radio Free Matukio
 
Mmmmmh!!!!!!! Bataa??????????????
hizo ni genye au shetani??!
Jamani hata shetani anashangaa..
 
Kuna watu wanashida sana kupata wanawake, wakati wengine mpaka tunachoka. Namuonea huruma sana.
 
alichanganyikiwa na Jina la MTU wake kukataliwa,a.k.a kukatwa aka run insane kwa hyo amebaka bila kukusudia kwani baada ya kutangazwa tano bora alirukwa na akili.
 
Hivi anakuwa anasikia raha kama ambavyo akishirikiana na mwanamke?
 
Jamaa kajilipua vibaya sana! apelekwe kwa Lusekelo
 
mambo ya kishetani haya..very saddening na hii kitu itampa psychological torture for life cause always kuna kale kasauti kichwani kalikuwa kanamuambia do it!do it! do it!..amekasikiliza ameingia mkenge, haya mambo sio ya kawaida
 
hili swali unamuuliza nani ??

Hahahha hata wewe unaweza kulijibu. hii sio case ya kwanza bana, Inawezekana kuna mtu ashamuuliza mmoja wa waliokamatwa kuwa huwa wanajisikaje kwenye tendo na mnyama
 
Back
Top Bottom