bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Naomba connection akacheze nje ya nchi apa bongo naona hakuna matumaini na umri unasogea
Achafue Hali ya hewa Kwanza.Naomba connection akacheze nje ya nchi apa bongo naona hakuna matumaini na umri unasogea
Number 9Anacheza namba ngapi?
Ndio maana plan yangu aende mbele uko akajichanganye bongo kugumukuna story moja kocha flani wa tz alikua akihadithia.
uyo kocha alipata timu ya kufundisha huko nje ya Tanzania,,wakiwa mazoezi na timu akaja mnigeria akamwambia mimi mchezaji nacheza winga nakuomba unipe nafasi nikuonyeshe maajabu.
kweli mnaigeria akapewa nafasi akakiwasha dirisha la usajili lilipofunguliwa wakampa mkataba.
wanigeria wacheza soka wanafungua mipaka fursa wanakutana nazo hukohuko.
Achafue vipi au... ebu nipe maujnja tumsaidie kijanaAchafue Hali ya hewa Kwanza.
Ana miaka 20 sasaAna miaka mingapi?
Kama kipaji kipo mpiganie aende nje tu
Ova
Soka la kisasa kwa hiyo namba itakuwa ngumu sanaNumber 9