Kijana amka!

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,612
Reaction score
65,062
Vijana wengi wanapoteza muda na fedha nyingi kwenye mahusiano. Na hii inatokana na kutamani kupita kiasi, kiasi kwamba kijana yuko tayari kuhonga kipato na muda wake ili aweze kutimiza tamaa yake. Na wadada wamjini walivyokuwa wajanja, wakipata bwege wa namna hiyo, wanamchuna kwa namna yoyote wawezavyo ili nao pia waweze kutimiza malengo yao.

Kama vijana wangetumia muda huo na nguvu hizo, kuwekeza kwenye shughuli zao za kiuchumi; leo tusingekuwa na mapori mengi kama yaliyopo. Nawashauri vijana washtuke mapema na wafanye mambo ya maana, huku wakitumia muda mchache na rasilimali fedha kwenye mahusiano. Unatakiwa ujitambue, hapo ulipo una deni la kuanzisha kiwanda na sio deni la kuchakata mbususu.
 
Bila kuwaambia waoe na watulie kwenye ndoa ni sawa na kitwanga maji kwenye kinu.

Hilo ndo jambo la maana zaidi unapoamua hutaki kuspend ovyo muda na fedha kwenye mahusiano.
 
Kama wanaume tusingekuwa na tamaa basi hakuna mwanaume ambae angekuwa na shda za kiuchumi
 
Bila kuwaambia waoe na watulie kwenye ndoa ni sawa na kitwanga maji kwenye kinu.

Hilo ndo jambo la maana zaidi unapoamua hutaki kuspend ovyo muda na fedha kwenye mahusiano.
Wakat at..23-33 watoto wakiume hujikita katika kutafta maisha na future

Wenzetu at 22-33 wanahangaika kutafta mume bora

Halaf tutegemee mabadiliko kwenye nyanja ya gender.
 
Bila kuwaambia waoe na watulie kwenye ndoa ni sawa na kitwanga maji kwenye kinu.

Hilo ndo jambo la maana zaidi unapoamua hutaki kuspend ovyo muda na fedha kwenye mahusiano.
Kuoa mapema ni vizuri; changamoto ni kupata mtu sahihi
 
Pesa raha yake matumizi bana kuhonga kizembe ni ujinga wa muhongaji, ujala papuchi usifunguke sana, ushakula papuchi ndo kabisaaa mpk awe na shida ya kwelj haswa
 
With the right woman, all else will follow.
Wakat at..23-33 watoto wakiume hujikita katika kutafta maisha na future

Wenzetu at 22-33 wanahangaika kutafta mume bora

Halaf tutegemee mabadiliko kwenye nyanja ya gender.
 
Kuna line inasema "Women admire men's money, Men admire women's beauty, chase dreams if you want to find a woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…