young_stunner
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 374
- 551
Huyu hajui nothing is easySijakuelewa kabisa.
Unasema hakuna pesa rahisi. Alafu hapo hapo unawachagulia vya kufanya!!!!!!!
Labda nikuambie kitu ndugu yangu, dunia ya leo inabadilika. Watu wanaenda na technology. Yaani hata uoto wa asili nao unabadilika.
Hatuna budi kubadili mifumo ya kufikiri pia.
Ni kweli forex ni ngumu ukiwa ndo unaanza. Ila ukishaizoea ni rahisi sana. Nina kama miezi minne sasa tangu niijue forex. Lakini naiona kesho yangu ikiwa kubwa.
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Inahitaji muda, umakini na adabu. Hivyo usiwadanganye watu kuwa ni kamali.
Hata darasani hakuna somo rahisi. Lakini cha ajabu ni kwamba, lile somo unalofeli wewe, ndilo analofaulu mwenzako.
Mbali na yote, forex is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu, elimu, elimu......high tech zone hii kaka....one bitcoin Miezi minne iliyopita nilinunua USD 2500 sasa hivi ni USD zaidi ya USD 4,000....sasa hivi akaunti yangu inasoma 1.2......BTC .....halafu Forex nina gain zaidi na kuloose kidogo,...sasa wewe mfuga kuku unataka nikusaidiaje?..hasara napata kwenye kila biashara ninayofanya hiyo ni kawaida......Wewe si ni mpiga upatu wa forex, endelea kuwatafuta wanaotaka pesa bila kufanya kazi. Mungu hakua na akili za mbayuwayu kusema mtakula kwa jasho.
Kuna insurance mkuuHakuna biashara isiyo na RISK..unaweza kufungua duka lakin likaungua moto au ukafilisika...acha wivu mkuu
Kula tano, like na makofi ya kupongeza uzi huu mkuu, kwa kweli kuipata pesa halali ni lazima uhangaike, tena yawa tamu zaidi ikiwa halali, ila jasho lazima likutoke na usikate tamaa hata kwanini, hata kama haters wakikuponda na kazi/biashara ufanyayo usijali, zidisha bidii na umakini mara mia...Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Na watakushambulia kweli kweliNasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho.
Ewe mwenye vipesa vyako vidogo usiingie kwenye biashara ambayo huijui na hujawa tayari kuipoteza hiyo pesa yako.
Huyo anaefanya kampeni ya Forex bado anakuambia analima na kufuga. Bado anakuambia forex inamuingizia mamilioni ya pesa. Kwanini asiachane na kilimo ambacho pesa yake huchukua muda mrefu kurudi?
Forex ni kama betting, ni km kamari tu, unapaswa kuwa na fedha ya ziada ambayo hata ikipotea huko haikuumizi kichwa.
Lakini kama ndio unategemea forex kama biashara yako ikutoe kimaisha, ikulishe, basi unapotea.
Sisemi hivi kwasababu ya chuki, au wivu, bali nakueleza ukweli kwamba usije piga kelele humu kuwa umepoteza muda na.pesa zako huko.
Nakuasa tena kijana, kama umeamua kuwa mfugaji, mkulima, muuza duka, mchuuzi, nk endelea na biashara yako.
Hizi biashara za kuaminishwa kuna ela na kutajirika kwa haraka hamna kitu kama hicho.
Hakuna biashara rahisi, nawachana live, atakae pasuka, nuna, atajua mwenyewe.
Ukweli Mezani.
Naweka Kumbukumbu sawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo wazo la RISK futa kichwani mwako,km unafkilia kila biashara ina Risk basi your Average Investor.Hakuna biashara isiyo na RISK..unaweza kufungua duka lakin likaungua moto au ukafilisika...acha wivu mkuu
Hakuna biashara isiyo na RISK..unaweza kufungua duka lakin likaungua moto au ukafilisika...acha wivu mkuu
Hahahah! Umemwambia vizuri sana mwenye macho asome vzr na aelewe!Mleta mada hujakosea. Hakuna hela rahisi. Hata youtube ukiangalia wanakueleza kabisa kama huna subira, nidhamu, kujitoa, muda, taarifa sahihi, n.k usijaribu forex. Wewe unaonekana umeshakata tamaa. Wacha watu wajaribu fursa. Wewe kacheze tatu mzuka na biko. Ukimaliza nenda kwenye mkeka kubeti. Maisha ni mapana sana. Waache walioamua kurisk wanachomudu wafanye hivyo
Verified User
Ndio nani kasema kuna pesa rahisi? Unadhan Forex unaifanya bila ya kusoma? Ndio maana umeambiwa mtu asome kwanza. Na kuna vitabu vimeandikwa. Hii ni elimu kala elimu nyingine. Sema hujasoma masuala ya fedha ndio maana unapinga kila kitu ila waliosoma wanajua kuwa wanafundishwa forex vyuoni kwao.Tuwape muda mkuu mambo yatajibu , na wataleta feedback kila mmoja mmoja ,kwangu mm naamini hakuna pesa rahisi ata ile ya wizi
Ndio nani kasema kuna pesa rahisi? Unadhan Forex unaifanya bila ya kusoma? Ndio maana umeambiwa mtu asome kwanza. Na kuna vitabu vimeandikwa. Hii ni elimu kama elimu nyingine. Sema hujasoma masuala ya fedha ndio maana unapinga kila kitu ila waliosoma wanajua kuwa wanafundishwa forex vyuoni kwao.Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho.
Ewe mwenye vipesa vyako vidogo usiingie kwenye biashara ambayo huijui na hujawa tayari kuipoteza hiyo pesa yako.
Huyo anaefanya kampeni ya Forex bado anakuambia analima na kufuga. Bado anakuambia forex inamuingizia mamilioni ya pesa. Kwanini asiachane na kilimo ambacho pesa yake huchukua muda mrefu kurudi?
Forex ni kama betting, ni km kamari tu, unapaswa kuwa na fedha ya ziada ambayo hata ikipotea huko haikuumizi kichwa.
Lakini kama ndio unategemea forex kama biashara yako ikutoe kimaisha, ikulishe, basi unapotea.
Sisemi hivi kwasababu ya chuki, au wivu, bali nakueleza ukweli kwamba usije piga kelele humu kuwa umepoteza muda na.pesa zako huko.
Nakuasa tena kijana, kama umeamua kuwa mfugaji, mkulima, muuza duka, mchuuzi, nk endelea na biashara yako.
Hizi biashara za kuaminishwa kuna ela na kutajirika kwa haraka hamna kitu kama hicho.
Hakuna biashara rahisi, nawachana live, atakae pasuka, nuna, atajua mwenyewe.
Ukweli Mezani.
Naweka Kumbukumbu sawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi uliouliza mbna wamefuta uzi wa forex na wenyewe umefutwaHahahaha Aisee
Naona unafanya kazi ya kuchemsha mchangaNdio nani kasema kuna pesa rahisi? Unadhan Forex unaifanya bila ya kusoma? Ndio maana umeambiwa mtu asome kwanza. Na kuna vitabu vimeandikwa. Hii ni elimu kala elimu nyingine. Sema hujasoma masuala ya fedha ndio maana unapinga kila kitu ila waliosoma wanajua kuwa wanafundishwa forex vyuoni kwao.
Uvivu wa kusoma ndio unawagharimu watu wengi. Na huwezi kufanya biashara bila ya kupoteza hata siku moja. Na pia ww c mfanyabiashara utakuwa kijana wa chakula cha shikamoo. Hii ni biashara kama ya kuuza na kununua mchele. Unanunua mchele unaposhuka then uuze unapopanda. Na ikitokea imeenda kinyume kuwa umenunua mchele kwa 60000 ili uuze ukifika 90000 lkn soko linagoma kupanda baadae linashuka hadi 30000 hapo unategemea nin? Au waliolima matikit maji ili wapate pesa siku yanaiva wanakuta soko limejaa matikiti maji matokeo yake anauza moja shilingi 3 ili arudishe hela yake hata nusu aliyotumia.
Brother jifunze kufanya utafiti wa kila jambo kabla hujafungua mdomo wako kuongea.
NB. SI LAZIMA SOTE TUFANYE FOREX . WOTE TUKIFANYA FOREX NANI ALIME ? LIMA MBONGAMBONGA TUTAKUJA KUNUNUA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia simu yako vizuri. Tumia bando lako vizuri.Naona unafanya kazi ya kuchemsha mchanga